Kwanini Yanga isipige marufuku kuongelewa EFM?

Hao wamelishwa supuu ya🦁.Kwanza moja wanakosa la uhujumu,uchumi,mbili kosa la natumizi mabaya ya nyara za sirikali na Tatu wanakosa la kula haramu/kisicho halal hivyo potezea hao na li TV lao🤪
 
Huyo ni🦁
 
Kwan kazumar ni nani mwenye hii football ya bongo hata mafanikio yake ya kimpira n yapi?labda nfahamishwe
Anafikia hatua kusema Rais wa Yanga ni muhuni bado viongozi wanaikalia kimya hii redio
 
Wachambuzi wa soka wengi ni wajinga wajinga Fulani hivi sip Tz au nje ya nchi.

Hawana logic huwa wanaharisha wakiongea.

Unaweza shangaa ukajiuliza huyu anakielewa anachokiongea au maamuma tu wa mpira.
 
Utopolo unateseka ukiwa wapi...Ukweli unauma.
 
Tatizo siyo EFM,tatizo ni kushindwa kumfunga Al Ahly aliyetoa sare na Simba.
Tatizo linakuwa zaidi pale mliposhindwa kudhihirisha kauli zenu eti mtamfunga Al Ahly 5-0.
Kwa vile akili hamna mnadhani mpira ni aljebra
 
Kazumari alikuwa meneja wa Metacha, alipoharibu na akaachwa Yanga alipotaka kurudi wakati ule wakamwambia kwanza achana na Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga ndo hapo akafura zaidi plus na kunyimwa usemaji.
Nimekusoma
 
hicho kituo si ndiyo walisema hawatazungumzia Habari za yanga ?

Tatizo la wanahabari wengi hawana maadili wanaendekeza njaa matokeo yake wakipewa 50k au 100k waseme chochote kibaya wanatii
 
hicho kituo si ndiyo walisema hawatazungumzia Habari za yanga ?

Tatizo la wanahabari wengi hawana maadili wanaendekeza njaa matokeo yake wakipewa 50k au 100k waseme chochote kibaya wanatii
Viongozi wachukue hatua
Hadi kumwita Rais wa club eti ni mhuni bado viongozi wa Yanga wamekaa kimya
Hilo halinifurahishi
 
Mimi nimeacha kuangalia kipindi Chao Cha # 10 sababu ya jeflea kazi tu kukosoa yanga na kujifanya much know sana.pumbavu zake
Na Kiingereza chake kibovu halafu anabana pua mbele za watoto wa kiumeni.
 
Na mratibu wa haya yote ni Jemedari Said,Hii yote inatokana na chuki kwa Rais Eng.Hersi kwasababu yeye huwa hatoi 'tips' kwa hawa wachambuzi.
 
Waache waseme sisi tunasonga mbele. They are paid for that strategy.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…