Kwanini Yanga isipige marufuku kuongelewa EFM?

Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
unajua hawa wachambuzi uchwara,ni njaa sana wanaba sana hela kwa viongozi wa yanga na wakinyimwa ndio vituko vya kuisema yanga,tushawshajua na hawatupi shida
 
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni

Andika vizuri. Umeleta habari kishabiki na kuongeza chumvi
 
Nadhani huyu jamaa anaeitwa kazumari atakuwa na matatizo binafsi na Yanga maana always lazima atafute udhaifu hata kidogo aukuze inapokuja issue ya Yanga. Iwe ni kwenye dudumizi au sports hq akipata udhaifu wa Yanga lazima aiponde vya kutosha. Huenda ni upinzani wa jadi lakini professionally mtangazaji/mchambuzi unakuwaje na upinzani wa jadi kwenye vipindi vya redio? EFM haina shida na Yanga. Sema Yanga ni kubwa sana compared na huyu mstaafu so apuuzwe hana impact yoyote kwa mipango ya timu yetu.
 
Hivi Kila abayeongelea mpira ni Mchambuzi? Hata Jemadari Said ni machambuzi? Mwijaku ni Mchambuzi? Shafii Dauda ni Mchambuzi?
Hao ni MaMC tu.
 
hyo redio ina wachambuzi kwan? naona wengi n wapiga story pale mm ntenge muda wangu nimsklze oruma sjui binti kazumari hapana sidhan kwa sasa
 
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
Unawasikilizaga hao WANAWAKE MALAYA!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani huyu jamaa anaeitwa kazumari atakuwa na matatizo binafsi na Yanga maana always lazima atafute udhaifu hata kidogo aukuze inapokuja issue ya Yanga. Iwe ni kwenye dudumizi au sports hq akipata udhaifu wa Yanga lazima aiponde vya kutosha. Huenda ni upinzani wa jadi lakini professionally mtangazaji/mchambuzi unakuwaje na upinzani wa jadi kwenye vipindi vya redio? EFM haina shida na Yanga. Sema Yanga ni kubwa sana compared na huyu mstaafu so apuuzwe hana impact yoyote kwa mipango ya timu yetu.
Kwan kazumar ni nani mwenye hii football ya bongo hata mafanikio yake ya kimpira n yapi?labda nfahamishwe
 
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
Walio wengi ni zero brain hao hasa Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga.
 
Nadhani huyu jamaa anaeitwa kazumari atakuwa na matatizo binafsi na Yanga maana always lazima atafute udhaifu hata kidogo aukuze inapokuja issue ya Yanga. Iwe ni kwenye dudumizi au sports hq akipata udhaifu wa Yanga lazima aiponde vya kutosha. Huenda ni upinzani wa jadi lakini professionally mtangazaji/mchambuzi unakuwaje na upinzani wa jadi kwenye vipindi vya redio? EFM haina shida na Yanga. Sema Yanga ni kubwa sana compared na huyu mstaafu so apuuzwe hana impact yoyote kwa mipango ya timu yetu.
Bifu la Kazumari ni kunyimwa kazi ya uofisa habari na issue ya Metacha kuwa meneja wake.
 
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
Wenzetu mnapata muda wapi wa kusikiliza redio?
 
Mkuu Kizuri ndio huwa chanzo cha mapato kwa watu wengine.
Harmonize alivyotoka wasafi yeye ni kumsema Diamond tu. Anaishi kwa njia hiyo japo kapunguza.
Alikiba alitaka kufa kimziki akadandia mashati ya Diamond na kutengeneza vibifu hewa mpaka leo anaishi kimziki wakati wenzie waliolala tumewasahau japo vipaji vyao havijafa.
Sasa ukitaka kiishi vizuri ungana au pingana na kinachovuma" the shining star ". Yanga bado habari ya kuuzia magazeti na redio na TV mbao za you tube.
Ikiibuka Azam ikawa bora hao EFM watahamia huko.
Tanzania hatunaga habari nyingi hivyo tunatumia njia ya kufuata upepo.

Vyombo vya habari vya TZ ni yanga na simba hawana jingine, wanapambania ugali wao. Kwa hio wasamehe tu.Ni njaa.
 
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
Hao ni kuwapuuza tu kama sisi Simba tunavyowapuuza wale makanjanja wa Wasafi FM kutwa kuichafua Simba tu,lakini tunawapuuza kwani mpira wa miguu unachezwa uwanjani kila mtu anaona.
 
Kwani Alliya Komwe anasemaje?
..
IMG-20231204-WA0000.jpg
 
Juzi mlikuwa mnamsifia Kazumari kwa kuwaponda Simba na kuwasifia Yanga, Aucho mchezo wake ni wa rafu kwa sababu mnanunua marefa ndio maanaa huwa haapewi adhabu. Hivi mmesahau kwanini hakucheza fainali za looser cup. Simba mbona wanaandikwa vibaya na mwanaspoti lakini hawaliilii.
 
Back
Top Bottom