Kwanini Yanga isipige marufuku kuongelewa EFM?

Malalamishi fc.
 
Utopolo wenye akili wawili tu.E fm kwanza wakaanzia kusema viongozi wapunguze porojo,kumbuka wanaowaongoza siku hzi uelewa umekuwa mkubwa,akatoa mfano sijui try again aliambiwa kwamba Simba ni bora kuliko masandawana,hatujakaa sawa Arafat nae kaja na vimbwanga vyake kwamba kuna shabiki sijui nani akamueleza kuwa National na Yanga watakuwa fainali.

Ukweli ni kwamba wabongo hatupendi kuamb8wa ukweli,Efm wao wanasemaga ukweli sio kupambapamba na ndio maana utopolo wanachukia sana,mbona Simba inazungumzwa vibaya Wasafi na wala husikii watu walalamike.
 
Kwani Gongowazi au Utopolo vinauhusiano gani na Klabu Yanga ndugu mleta uzi? #uhuruwavyombovyahabari
 
Walipewa ng'ombe kwa kuripoti vzuri habari za Yanga au sio wenyewe
 
Kuna jamaa anaitwa Geof Leah. Sijui alisomea wapi taaluma ya Utangazaji lakini huwa anaongea pumba sana linapokuja swala yla Yanga.
 
Kweli huko wenye akili ni wawili, yaani uwazuie kuizungumzia team!!!??
 
Wale hua wanapewa ten ten na Ngungu boy basi wanaropoka pumba
 
Aucho kufungiwa inahitaji kuongelewa na efm?punguza ushabiki Kwa vitu vilivyowazi ,Aucho akicheza VPL anafanya anvyotaka Kwa ujinga wa uoga wa waamuzi ,akiwa CL athubutu kujizima data .
 
.. .. ..
 
Kupotosha unaona sahihi?
No kupotosha sio sahihi, ila elewa kuna two sides ya kila story, wewe ulitakiwa utupe ya upande wa pili ambayo ungeipa facts ili wasomaji waone ukweli upo wapi,...next time kama unakerwa acha kusikiliza radio station hiyo!
 
Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi.
Waasisi wa hayo majina sio EFM, bali ni wanachama wenu wenyewe hawa:

 
Nyie vilaza kweli,mara mlishwe supu ya vibudu mara mvishwe vijola bila chupi sijui kinachofuata ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…