MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia.
MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda.
Shikamoo Babu Fundi wa Yanga SC.
MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda.
Shikamoo Babu Fundi wa Yanga SC.