Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.
Nasikia ana IDs zaidi ya 25 ( zingine akijifanya ni Mwanamke ) huku Mbili zikiwa ni maarufu hata kuliko hiyo ( hii ) tunayoijua Wengi hapa je, Mwenzetu utaweza Kupambana nae huyo Akili Kubwa huku Wewe ukionekana ni Akili Kiduchu / Ndogo?
Nasubiria jibu lako tafadhali ila hata Mimi ninamchukia ile mbaya GENTAMYCINE ila nashangaa Yeye Umaarufu Kwake hapa JamiiForums ndiyo Unaongezeka huku Mimi na Wewe ( na Wengine ) tukiwa tupo tupo tu kama Mizuzu fulani.