Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi.
Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club ambayo ni ya kila mmoja. Mashabiki wa yanga wanaumia sana kuona kwanini mechi tano yanga inaongoza ligi.
Ukipita kwenye mitandao wanadai kwamba mwaka jana round ya 5 simba alikuwa anaongoza ligi. Wanatamani mambo hayo yaendelee.
Nimefurahia sana kusikia kutoka kwa mwenyekiti wa bodi wa simba kwamba amesikia kilio cha mashabiki na wapenzi wa simba, hususani wale waliopo huko UTOPOLONI.
Sisi kama mashabiki na wanachama wa simba tunawaahidi wenzetu walipo huko UTOPOLONI kuwa kuanzia mzunguko wa 6 tutaanza kupiga watu kono la nyani, huku biriani mayai yaliyotiwa jibini yakioneshwa uwanjani.
Ndugu zangu UTO kama UTO, hatutawaangusha
KAZI IENDELEE
By V. Star
Msemaji wa Simba JF
vstar@simba.co.tz
+255707135879