Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mie nilijua Yesu ndio Mola wa ulimwengu.Ndio mission yake alivyopangiwa na mola wake,
Kwanini, mola wake ndio anajua zaidi.
Wanajichanganya sana.π π π
kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Ni Mungu aliyevaa Mwili wa Damu na nyama Ili afe msalabani Auokoe UlimwenguShalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
Mleta mada ana maanisha kua huyo Mungu wao aliogopa wanawake,aliogopa kusalitiwa,mleta mada atakua ni team kataa ndoa,ndio maana ameleta hii mada.Wagalatia si wanasema ni Mungu , sasa Mungu ataoaje viumbe wake ?
Unaona hali inayopitia CCM kwa sasa? Kwanini? Unadhani CCM Wana furaha? Ni kwasababu ya technical mistake waliofanya....Kristo aliona Mbali, kumbuka alikua Mtoto wa kijiweni, Mtoto wa seremalaShalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
π π πMleta mada ana maanisha kua huyo Mungu wao aliogopa wanawake,aliogopa kusalitiwa,mleta mada atakua ni team kataa ndoa,ndio maana ameleta hii mada.
Kila mtu na ajuavyo, mie najua yesu sio mola wa ulimwengu. Na hilo ni jibu langu.Mie nilijua Yesu ndio Mola wa ulimwengu.
WAKATOLIKI kila kitu tunaita fumbo na kwamba Papa ndio anajua maana ssi waumini ni walei, si kweli.Shalom,