Ushaambiwa Yesu alikuwa na nafsi ya Mungu, mfano umeona ,hakuweza kula siku arobaini mchana na usiku,kitu ambacho mwanadamu wa kawaida hawezi, wewe na hisia mshindo zako, nyege kama 5g , 24/7/5/12 a year unaanza kuwaza hata Yesu ni kama Mimi, afu unajiuliza Mimi nimeshindwa yeye aliwezaje!!? Unaanza kumtafutia hatia ili tu uhalalishe Tabia zako [emoji848][emoji848]
Unachokosea ni kujifananisha na Yesu na Kisha kujipa haki sawa na yeye, ukitaka ujue tofauti fungal siku kumi usiku na mchana bila kula utajua kwa Nini Yesu hapaswi kulinganishwa na wewe au mimi