Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

Ndg zetu katika Imani wanasema yesu alikuwa mtume kama mtume wengine wao Wana muita nabii Issa

Huenda alitunza bikra yake akakutane na bikira 72 peponi kama huyu rais wa Iran aliyeamua apite Chocho kuziwahi Kuna tesisi kuwa zinapungua Kwa Kasi maana wayahudi Wana wawahisha sana
 

Attachments

  • Screenshot_20240527-043410_1.jpg
    Screenshot_20240527-043410_1.jpg
    413.1 KB · Views: 7
Vipi kwa upande wa Mudi! Au utajitetea ni nje ya mada? Maana kama umeweza kumuongelea Yesu, naamini unaweza pia kumuelezea Mudi.
Yesu alikuwa shoga makafiri nyote mnapaswa muige ushoga wake
 
WAKATOLIKI kila kitu tunaita fumbo na kwamba Papa ndio anajua maana ssi waumini ni walei, si kweli.
Yesu ni Mungu, Mungu haoi wala kuolewa maana yeye ndio anayeumba.
Mariamu alikuwa chimbo tu na ndio maana hakuna shahawa zilizo hitajika kuwekwa ili Yesu azaliwe bali ni uweza wa Roho mtakjatifu.
Kwahiyo na Adam nae ni Mungu kwasababu yeye ndie hata kukaa kwenye tumbo la mwanamke hakukaa?
 
● Wanafunzi wa kike alikuwa nao ila hawakuwa mitume. Mitume ilibidi wawe wanaume kwa sababu walikuwa walimu wa neno la Mungu. Sheria ya Mungu hairuhusu mwanamke kufundisha mbele ya wanaume

Marko 15:40-41SRUV

40. Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; miongoni mwao alikuwemo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, na Salome;

41. hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumhudumia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.



●Alikuwa na urafiki na wanawake ila aliwaheshimu sio urafiki wa kuwatongotongoza, hakuwaona kama mademu zake. Mfano ni Maria na Martha dada za rafiki yake Lazaro.

Luka 10:39 BHND

Yohana 11:20

20. Martha aliposikia Yesu amefika, alitoka kwenda kumpokea
 
Kwahiyo na Adam nae ni Mungu kwasababu yeye ndie hata kukaa kwenye tumbo la mwanamke hakukaa?
Low IQ, unafananisha Mtori na Supu.
Wewe inaonekana unataka kubishana na si kujifunza.
Nakupa link ya vijana wa Mbagala -Kiburugwa wana UVCCM mkabishane.
 
Low IQ, unafananisha Mtori na Supu.
Wewe inaonekana unataka kubishana na si kujifunza.
Nakupa link ya vijana wa Mbagala -Kiburugwa wana UVCCM mkabishane.
Nimekuuliza swali halafu unanitukana hivi ndivyo wazazi wako wamekufundisha?
 
Luka 20:34 Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa.

Kumbe wanao Oa na Kuolewa ni wana wa Ulimwengu hu!!.
Yesu hakuwa wa Ulimwengu huu ndiyo maana hakuoa.
 
Back
Top Bottom