Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
John 12:3, Then Mary took about a pint of pure nard, an expensive perfume; she poured it on Jesus' feet and wiped his feet with her hair. And the house was filled with the fragrance of the perfume.Duh asee ni kwere jomba lazima alikuwa ana hustle sana kumhudumia
Unamfahamu Maria Magdalena? (Mary Magdalene).Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
Kawaida watu wenye akili nyingi hawaoi;Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
Soma Mwazo 19 na judge 19 utajuwa kwani yesu hakuwa na mke wala girlfriend.Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
Yesu Kristo alikuwa anaongea sana na wanawake anza kwa veronica aliekuwa anatokwa damu, yule pale kisimani na alieletwa mzinzi. Alikuwa anaongea nao tenacmpaka wanafunzi wake walikuwa wanastaajabuYesu alikua rafiki mkubwa wa dada yake na Lazaro Martha,pia yesu alikua rafiki na Maria Magdalena..
Ukisema si sahihi yesu kulinganishwa na wanadamu basi yale yote aliyofundisha hayana maana kwa wanadamuUshaambiwa Yesu alikuwa na nafsi ya Mungu, mfano umeona ,hakuweza kula siku arobaini mchana na usiku,kitu ambacho mwanadamu wa kawaida hawezi, wewe na hisia mshindo zako, nyege kama 5g , 24/7/5/12 a year unaanza kuwaza hata Yesu ni kama Mimi, afu unajiuliza Mimi nimeshindwa yeye aliwezaje!!? Unaanza kumtafutia hatia ili tu uhalalishe Tabia zako [emoji848][emoji848]
Unachokosea ni kujifananisha na Yesu na Kisha kujipa haki sawa na yeye, ukitaka ujue tofauti fungal siku kumi usiku na mchana bila kula utajua kwa Nini Yesu hapaswi kulinganishwa na wewe au mimi
Ukisema si sahihi yesu kulinganishwa na wanadamu basi yale yote aliyofundisha hayana maana kwa wanadamu
Alikuwa anatoa mfano jinsi ya kuishi nao. Kama wewe ni binadam hauwezi cheka na hao viumbe ukabaki salama kwenye huduma. Wananyonya nguvu ya Mungu zaidi ya kupeShalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
Hili ndilo fumbo la Imani 🙏Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.
Wadiz
Dan Brown anasemaje?Yesu alikua rafiki mkubwa wa dada yake na Lazaro Martha,pia yesu alikua rafiki na Maria Magdalena..
Shalom, Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ? Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu. Wadiz
Kwa vile, bible haikutaja wanafunzi wa kike,haina maana hawakuwepo, vile vile ukumbuke Yesu alizaliwa katika utamaduni wa wayahudi, ilibidi aziishi Mira za kabila Hilo, kuna Mambo yaliyoandikwa kwenye ambayo sio ya kumara maana ni tamaduni za wayahudi sio maagizo ya kiroho,Shalom,