so tukubaliane maadili yamepotea sana maana zamani hata wivu ulikuwepo ila at least mwanaume akiwa na mke zaidi ya mmoja anakuwa anatambulika katika jamii ila kwa sasa michepuko imekuwa mingi kwasababu ya nyumba za kupanga? Tunaweza kusema nyumba za kupanga zimeathiri maadili ya ndoa hizi na kuzifanya kuwa za siri sana? Mwanamke anajua kabisa yule ni mme wa fulani ila anazaa nae halafu mwanaume huyo anampangishia chumba na kumhudumia kwa siri maisha yanaendelea.Mapenzi bwana yana asili ya ubinafsi asikuambie mtu!
hata wale wanaodate na waume za watu sio kama hawaumii wakiona Mr &Mrs wako pamoja..
wanaume sana ndo maana saa ingine unakuta mchepuko,unaanza kumfanyia vurugu mke mkubwa au kutaka kujimilikisha yy mume wa mtu!.
Suala sio maadili kushuka kivile....so tukubaliane maadili yamepotea sana maana zamani hata wivu ulikuwepo ila at least mwanaume akiwa na mke zaidi ya mmoja anakuwa anatambulika katika jamii ila kwa sasa michepuko imekuwa mingi kwasababu ya nyumba za kupanga? Tunaweza kusema nyumba za kupanga zimeathiri maadili ya ndoa hizi na kuzifanya kuwa za siri sana? Mwanamke anajua kabisa yule ni mme wa fulani ila anazaa nae halafu mwanaume huyo anampangishia chumba na kumhudumia kwa siri maisha yanaendelea.
maana yake tumeondoka kwenye misingi ya ndoa kwa kutoyatii maagizo ya Mungu na kufuata utandawazi?Suala sio maadili kushuka kivile....
japo laweza kuchangia pia!
Zamani ndoa zilikua ndoa ajira sasa hivi wake kwa waume wote wanachakarika vibaya mnoo!!
Wazazi wetu walikua wanafundishwa kuti waume zao kwa moyo mmoja toka wakiwa watoto..
Sasa hivi mzazi anakupa elimu anakuambia'nakusomesha ili uweze kujietegemea na usiweze kubabaishwa na mwanaume yoyote yule'
Na wanaume nao pia wanachangia hili kuna wengine wana imanj za ndoa ya mke mmoja Ila mtu anavunja kiapo na kuanza kutanga tanga na michepuko!
Kuna imani zingine unaambiwa'oa wanawake unaowapenda'
haya nayo umeyarithi ama umebuni ya kwako kinyume na kusudi la Mungu la kukuumba?Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...
Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.
Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.
Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu
Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.
Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
ndivyo ilivyo mwingine imani yake inaruhusu wake wengi Ila bado anachepukamaana yake tumeondoka kwenye misingi ya ndoa kwa kutoyatii maagizo ya Mungu na kufuata utandawazi?
Hii tabia ya kuondoka kitandani kabla hujaniamkua umeianza lini??Mapenzi bwana yana asili ya ubinafsi asikuambie mtu!
hata wale wanaodate na waume za watu sio kama hawaumii wakiona Mr &Mrs wako pamoja..
Wanaumia sana ndo maana saa ingine unakuta mchepuko,unaanza kumfanyia vurugu mke mkubwa au kutaka kujimilikisha yy mume wa mtu!.
Babe nimekuacha upumzike na uchovu wa usiku!Hii tabia ya kuondoka kitandani kabla hujaniamkua umeianza lini??
Hapo sawa....Babe nimekuacha upumzike na uchovu wa usiku!
Nshakuandalia maji ya kuoga!twende nkakuogeshe...
twende mpenzi ukaoge!Hapo sawa....
Ila usinichoshe tena vile.... utafikiri uliwekewa mota kiunoni... Khaa!!
Tangulia naja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haitokaa iwepo hiyoo mpenzi wangu!Hata hao wa zamani sio kwamba walipenda ni mfumo wa maisha ulikua unawafanya wakubali tu....
Mi natamani pia polyandry ikubalike kisheria