Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?

Ni kinyume na maumbile.Mungu alimpa Adamu mke MMOJA aitwaye Hawa.
 
Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...

Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.

Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.

Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu

Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.

Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
Wa tano UKIMWI
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hivi hii ya 'wanawake wa zamani'mliwahi kuongea nao wakawaambia walikuwa wanapenda? Hakuna alokuwa anapenda kabisa huo uduwanzi, sema ndio ilikuwa mfumo wa jamii na walikuwa hawawezi kujitetea.
 
Back
Top Bottom