Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?

Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...

Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.

Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.

Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu

Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.

Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
You must be a carrier, it's not a joke
 
Haa haa aiseee uliwah kuuzaga nn mkuu[emoji1] [emoji1]
 
But wako Radhi kuwa mume wa mtu au mchepuko hata wakiwa 3 mradi maisha yaende aisee na anajua kuwa anawapanga wanaume wa 3 acha tuwa gegede Tu mana kila mtu mchepuko Bae[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Habari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.

Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa hata wake watatu na wote walikuwa wanapendana na kuishi kwa umoja na ushirikiano.

Tofauti na sasa, wanawake wengi hawapendi uke wenza licha ya idadi yao kuwa kubwa kuliko wanaume. Nini tatizo?

Nawasilisha tupate michango hasa kwa kina mama. Mojawapo ya sababu kubwa inaweza ikawa ni magonjwa, lakini hata tulikotoka magonjwa yalikuwepo tena hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko sasa. Karibu.
.
 
Hata hao wa zamani sio kwamba walipenda ni mfumo wa maisha ulikua unawafanya wakubali tu....
Mi natamani pia polyandry ikubalike kisheria
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Habari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.

Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa hata wake watatu na wote walikuwa wanapendana na kuishi kwa umoja na ushirikiano.

Tofauti na sasa, wanawake wengi hawapendi uke wenza licha ya idadi yao kuwa kubwa kuliko wanaume. Nini tatizo?

Nawasilisha tupate michango hasa kwa kina mama. Mojawapo ya sababu kubwa inaweza ikawa ni magonjwa, lakini hata tulikotoka magonjwa yalikuwepo tena hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko sasa. Karibu.
Wivu
 
Wabinafsi wachoyo kwa wenzao, wakati wanaume wenyewe wako wachache
 
Back
Top Bottom