Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?

Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?

umekosa hoja umeanza kututukania wazazi sasa!

Sio kila walichofanya na kuamini wazazi nitafanya.
.sio mapacha sie.

stop involving people's parents with their lifestyles. kilazer.
Sorry mkuu,, lengo sio kitukana wazazi
 
Ndg wewe upo ulaya, hongera. Mimi Mzee wa huku Nanjilinji kijijini. Ya ulaya mbaki nayo huko huko msituletee huku Afrika.
nikasoma mahali kwamba baba yake JKN alikuwa na wake 22 sasa zama hizo sijui ingekuwa sasa asingefikisha hata wa5 kabla hajaflotishwa. Hv mwanamke anapata wapi ujasiri wa kuua mme wake kisa kushare dudu?
 
Kwanza wanaume wa zamani walikuwa wanaume kweli, hawa wa sasa wanaoishi kwenye nyumba za wanawake anaanzaje kuoa watu wengi....ukijua tu ana kimchepuko unatupa zubeda yake nje afu unammalizia na yeye moka ya kichwa afatane na zubeda yake

Hahaha ni shida! Huku wanabeba shangazi kaja![emoji16]
 
Hivi hii ya 'wanawake wa zamani'mliwahi kuongea nao wakawaambia walikuwa wanapenda? Hakuna alokuwa anapenda kabisa huo uduwanzi, sema ndio ilikuwa mfumo wa jamii na walikuwa hawawezi kujitetea.
Nakubaliana na wewe. Na uwezo wa kujitetea unatokana na kuwa na kipato. Ukimtegemea mtu kwa kila kitu, atakufanya atakavyo. Beggars can't be choosers!
 
Nakubaliana na wewe. Na uwezo wa kujitetea unatokana na kuwa na kipato. Ukimtegemea mtu kwa kila kitu, atakufanya atakavyo. Beggars can't be choosers!
tatizo hata mkifanya kazi hamwezi kupata vyote mnavyohitaji sababu ya tamaa
 
Hawa wanachekeshaga sana kujifananisha na wanaume wa zamani, wakati hawawafikii hata robo....
Enzi hizo men were men buana siku hizi wengi ni visokolokwinyo tu vinavokojoa vimesimama basi vinajikuta vimwanume (men with no balls)
We mwanamke una matusi ya rejareja sana...imenibidi nicheke tu japo umenivua uanamume wangu
 
tatizo hata mkifanya kazi hamwezi kupata vyote mnavyohitaji sababu ya tamaa
Hapa point ni heshima. Sio wote wenye tamaa na uwezo wa kupata vyote tunavyohitaji tunao. Times have changed my friend, women know how to hassle and many are making some serious cash.
 
Hapa point ni heshima. Sio wote wenye tamaa na uwezo wa kupata vyote tunavyohitaji tunao. Times have changed my friend, women know how to hassle and many are making some serious cash.
Maagizo ya Mwenyezi Mungu yalikuwa kwamba, mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho. Sasa haya ya mwanamke ku hussle kama mwanaume,ndo usodoma na gomora.
 
Maagizo ya Mwenyezi Mungu yalikuwa kwamba, mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho. Sasa haya ya mwanamke ku hussle kama mwanaume,ndo usodoma na gomora.
You want us to lie down and play dead
.... no way Jose!
 
Back
Top Bottom