Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Afadhali... ilibakia kidogo nimwachie Mungu.Halikuhusu sweet mangii, we sio wa dar umekuja dar kutafuta tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali... ilibakia kidogo nimwachie Mungu.Halikuhusu sweet mangii, we sio wa dar umekuja dar kutafuta tu....
We mwanamke komesha[emoji1]Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...
Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.
Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.
Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu
Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.
Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
Ni raha......mbona kuna wanaume wanaishi hivyo.........wanatupia demu m'moja na wala hawamind inshu yeyote......Mkiwa wengi uaminifu ni mdogo
Lakini pia jaribu kuona mngekuwa wanaume wengi wanawake wachache ungekubali muwe wanaume 2 kwa binti mmoja unayemzimia sanaaaa moyoni
kwani walioa wake wengi ili kufukunyua tuu?Tatizo vidume vya siku hizi nguvu hakuna...... ukikubali mitala tu jua share yako kwa mwezi unaweza usiipate.
Uzoefu wangu ni kuwa mwanamke mmoja tu huwa mpaka najihisi nguvu zimepungua, lakini nikienda kwa mwingine najikuta nafanya vema sana NGUVU ZOTE ZINAKUWEPO. Kwa hilo ndio asili ya mwanaume nadhani, yaani kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni must, haijalishi anaitwa mke, girl friend au hawala, cha msingi ni several papuchiizi. Najua utandawazi nao umewafanya baadhi wanawake kuiga au kufanya kukomoa kwa kuhitaji several dushezi, lakini cha kuiga hakiwezi fikia cha asili. Naamini, na nilisoma gazeti moja hivi karibuni lililotoa utafiti kuwa ni asilimia kubwa sana ya wanaume wana michepuko ukifananisha na wanawake. Hivyo nyie endeleeni kudai haki sawa kwa kutuzuia kuoa wake wengi kisheria lakini hiyo haituzuii kupata several papuchiizi.Bwana eee kwanza wanaume wenyewe wa karne hii... hamjiwezi kwa lolote si kitandani wala kiuchuumi afu bado utake mke zaidi ya mmoja chaaaaa!! Ifike mahala mjionee huruma wenyew
hahaah nilikuwa na mahusiano na mtu wa dini tofauti, akanambia "yeye kubadili haiwezekani mimi ndo nitabadili" nikasema sawa maana huko tunaruhusiwa hadi wa 4 itakuwa vyema. hii kauli ilichochea kuachana nae.HATA WALE WA KIISLAMU HAWATAKII??
Huyo mwanamke ukisha mzalisha watoto 3 ,ongeza mke hatoweza kuondoka kama hataki uke enza atabaki kulalamika tu ila hawezi kusepa ,Maadili,huu umagharibi umeleta mengi,mwanake nae leo ni superior,bibi zetu waliaminikuwa mila,desturi hazipingwi so mwanaume ni last say hakuna wa kumpinga,na walikuwa comfortable tuu hawakuona kamakuna kitu wanakosa,hawawa leo wamevamia kichwa kichwa culture za watu,wanaamin kuwa wao na wanaume hawana tofauti,ndio maana kwa kuamin kuwa lolote analoweza kufanya mwanaume hata mwanamke anaweza,ndo maana leo kumkuta fundi ujenzi mdada ni kawaida tuu,matokeo hukohuko anaishia kuzalishwa watoto tu wasio na baba
Mwanamke wa leo ukitaka kumfukuza ndani kwako we oa mke mwingine tuu,atasepa awaachie nyumba
Hehehe polyandry ikikubalika jutakua na ngumi za Mike Tison ndani ya ndoa.Hata hao wa zamani sio kwamba walipenda ni mfumo wa maisha ulikua unawafanya wakubali tu....
Mi natamani pia polyandry ikubalike kisheria
Nani alikuambia culture is static?Maadili,huu umagharibi umeleta mengi,mwanake nae leo ni superior,bibi zetu waliaminikuwa mila,desturi hazipingwi so mwanaume ni last say hakuna wa kumpinga,na walikuwa comfortable tuu hawakuona kamakuna kitu wanakosa,hawawa leo wamevamia kichwa kichwa culture za watu,wanaamin kuwa wao na wanaume hawana tofauti,ndio maana kwa kuamin kuwa lolote analoweza kufanya mwanaume hata mwanamke anaweza,ndo maana leo kumkuta fundi ujenzi mdada ni kawaida tuu,matokeo hukohuko anaishia kuzalishwa watoto tu wasio na baba
Mwanamke wa leo ukitaka kumfukuza ndani kwako we oa mke mwingine tuu,atasepa awaachie nyumba
Hakuna chenye ubora hapo.Kipi bora niongeze michepuko au niongeze mke?
Hahaahha atoto ww,culture sio static yes,lakin unakua dynamic kwa culture ya nani na ipi?Nani alikuambia culture is static?
Basi si muoe hao bibi zenu.