Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Inategemea una matumizi gani nao, unaweza tu ukanunua.Ushawahi kuona mtu ana nunua jogoo 3 halafu jike mmoja?
Nature ndio ilivyo jike 3 jogoo 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea una matumizi gani nao, unaweza tu ukanunua.Ushawahi kuona mtu ana nunua jogoo 3 halafu jike mmoja?
Nature ndio ilivyo jike 3 jogoo 1
Kwanza wanaume wa zamani walikuwa wanaume kweli, hawa wa sasa wanaoishi kwenye nyumba za wanawake anaanzaje kuoa watu wengi....ukijua tu ana kimchepuko unatupa zubeda yake nje afu unammalizia na yeye moka ya kichwa afatane na zubeda yakeHivi hii ya 'wanawake wa zamani'mliwahi kuongea nao wakawaambia walikuwa wanapenda? Hakuna alokuwa anapenda kabisa huo uduwanzi, sema ndio ilikuwa mfumo wa jamii na walikuwa hawawezi kujitetea.
unafikiri hao Majike hawachoki jogoo huyo huyo kila siku??Ushawahi kuona mtu ana nunua jogoo 3 halafu jike mmoja?
Hahahaaaa!!! Eti 'zubeda lake'Kwanza wanaume wa zamani walikuwa wanaume kweli, hawa wa sasa wanaoishi kwenye nyumba za wanawake anaanzaje kuoa watu wengi....ukijua tu ana kimchepuko unatupa zubeda yake nje afu unammalizia na yeye moka ya kichwa afatane na zubeda yake
Hawa wanachekeshaga sana kujifananisha na wanaume wa zamani, wakati hawawafikii hata robo....Hahahaaaa!!! Eti 'zubeda lake'
Acha wajitoe ufahamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaaaMwanaume mmoja hanitoshi aisee...
Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.
Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.
Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu
Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.
Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
Wale mbwa bado wapo??Huko watu watasikia nikiwa natubu, njoo nyumbani kwangu
Niliwachinja wote nikampa jirani yangu muhehe akawala mishkaki....Wale mbwa bado wapo??
Hata hao wa zamani sio kwamba walipenda ni mfumo wa maisha ulikua unawafanya wakubali tu....
Mi natamani pia polyandry ikubalike kisheria
Orayt... nakuja kwa amani. Nikukute without kabisaaa... hamna kupotezeana muda kwa mambo ya kijingaNiliwachinja wote nikampa jirani yangu muhehe akawala mishkaki....
Karibu sana switi
Wanaume wa dar hata kuoa nawashauri wasioe tuHahaagaaa!! Eti Polyandry ikubalike, labda kwa wanaume wa Dar
Hili tusi linanihusu??Wanaume wa dar hata kuoa nawashauri wasioe tu
Halikuhusu sweet mangii, we sio wa dar umekuja dar kutafuta tu....Hili tusi linanihusu??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...