Maadili,huu umagharibi umeleta mengi,mwanake nae leo ni superior,bibi zetu waliaminikuwa mila,desturi hazipingwi so mwanaume ni last say hakuna wa kumpinga,na walikuwa comfortable tuu hawakuona kamakuna kitu wanakosa,hawawa leo wamevamia kichwa kichwa culture za watu,wanaamin kuwa wao na wanaume hawana tofauti,ndio maana kwa kuamin kuwa lolote analoweza kufanya mwanaume hata mwanamke anaweza,ndo maana leo kumkuta fundi ujenzi mdada ni kawaida tuu,matokeo hukohuko anaishia kuzalishwa watoto tu wasio na baba
Mwanamke wa leo ukitaka kumfukuza ndani kwako we oa mke mwingine tuu,atasepa awaachie nyumba