naisha nasri
Member
- Apr 25, 2016
- 67
- 64
You must be a carrier, it's not a jokeMwanaume mmoja hanitoshi aisee...
Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.
Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.
Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu
Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.
Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
Hata hao piaHATA WALE WA KIISLAMU HAWATAKII??
Kwann ukubali kushera wakat unaweza kupata wakwakoKukubali kushare penzi huku unashuhudia nacho kipaji ati.
Wengine huo moyo wa kuvumilia hatuna.
Haa haa aiseee uliwah kuuzaga nn mkuu[emoji1] [emoji1]Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...
Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.
Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.
Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu
Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.
Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
kwa niaba ya NATURE yetu MAARHABA.Shikamoo "NATURE"
Tatizo wanaume wachache.Kwann ukubali kushera wakat unaweza kupata wakwako
Tatizo moyo.ukishare wala hupungukiwi na kitu mkuu
.Habari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.
Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa hata wake watatu na wote walikuwa wanapendana na kuishi kwa umoja na ushirikiano.
Tofauti na sasa, wanawake wengi hawapendi uke wenza licha ya idadi yao kuwa kubwa kuliko wanaume. Nini tatizo?
Nawasilisha tupate michango hasa kwa kina mama. Mojawapo ya sababu kubwa inaweza ikawa ni magonjwa, lakini hata tulikotoka magonjwa yalikuwepo tena hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko sasa. Karibu.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Hata hao wa zamani sio kwamba walipenda ni mfumo wa maisha ulikua unawafanya wakubali tu....
Mi natamani pia polyandry ikubalike kisheria
WivuHabari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.
Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa hata wake watatu na wote walikuwa wanapendana na kuishi kwa umoja na ushirikiano.
Tofauti na sasa, wanawake wengi hawapendi uke wenza licha ya idadi yao kuwa kubwa kuliko wanaume. Nini tatizo?
Nawasilisha tupate michango hasa kwa kina mama. Mojawapo ya sababu kubwa inaweza ikawa ni magonjwa, lakini hata tulikotoka magonjwa yalikuwepo tena hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko sasa. Karibu.
Wabinafsi wachoyo kwa wenzao, wakati wanaume wenyewe wako wachacheHabari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.