Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
CCM utaratibu huu wanauenzi, wakiwa mezani kwa mama hawaongei, ukiwatowa kwenye chakula ndio utayaona yanaanza kuropoka kama Ndugai, Polepole na Bashiru.Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana...
Kwa kuongezea hapo pia, kiroho inasaidia sana maana inamfanya mtu ku-concentrate na chakula hivyo ni kama moja ya Energy meditation.Kwanza kuongea huku unakula kiafya sio sawa,
--kurusha mate kwenye chakula.
--kupaliwa na chakula wakati unaongea.
tena tv inazimwa mnakula kwa pamoja ndomana watu wa zamani upendo upo ila sikuizi watoto wanalia vyumbani tena kwa mda anaotaka huku anachat na kuongea na simuKwanza kuongea huku unakula kiafya sio sawa,
--kurusha mate kwenye chakula.
--kupaliwa na chakula wakati unaongea.
Ila siku hizi watoto wanakula huku wanaangalia TV.
Wakati zamani tuliambiwa tukila.tuangalie chini tunapokula.
π€£π€£π€£π€£πππππππCCM utaratibu huu wanauenzi, wakiwa mezani kwa mama hawaongei, ukiwatowa kwenye chakula ndio utayaona yanaanza kuropoka kama Ndugai, Polepole na Bashiru.
Hili jambo la Msingi sana. Mtoto anaweza kukuaibisha bila kutarajia na ukakosa hata la kujiteteaπππBaba yamgu aliniambia, msingi wa tabia kwa mtoto unaanzia mezani. Ukufanikiwa kuhakikisha table manners, ni rahisi mtoto kua na tabia nzuri.
Pamoja na hili nafkiri ilikua kwa ajili ya kutunza siri za familia maana watoto hawana breki, wanaeza sema mabo ya shombo mbele ya kadamnasi.
Na zamani sehem ambapo kulikua na kadamnasi ni mezani coz nje ya hapo watoto hawaruhusiwi kuwepo kwenye maongezi ya watu wazima.
Hapa unadhani kosa ni la nani? Kwanini Mtoto alie Chakula Chumbani tena kwa wakati wake? Anayeosha Vyombo kila baada ya dk anakuta Sink lina chombo kichafutena tv inazimwa mnakula kwa pamoja ndomana watu wa zamani upendo upo ila sikuizi watoto wanalia vyumbani tena kwa mda anaotaka huku anachat na kuongea na simu
Labda huko kwenu mmeshindwa malezi. Huku kwetu hyo tabia hairuhusiwiSiku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana.
Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha.
Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
Mabadiliko Yana Anza nawewe ,familia yako,jirani,mtaa,kitongoji,kata,wilaya,mkoa,hatimaye Tanzania,utandawazi umebadili kila kitu siku hizi maadili ya wazazi wetu wa kale hatuyaishi kwa watoto wetu