Kwanini Zanzibar haipewi uhuru wake toka kwa Watanganyika?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Jambo linalonisikitisha na kunishangaza na kuacha swali juu yangu.

Ni kwa nini ZANZIBAR haipewi uhuru wake na kutoka mikononi mwa makucha na ukoloni wa Tanganyika na kuendesha mambo yake kivyake kama nchi huru?

NB: Hivi ni kweli Nyerere aliuchukia ukoloni na utumwa au ilikuwa kinyume chake?
 
Kuna watanganyika kama wamepagawa na chuki Kwa wazanzibar...Hadi wanasahau kuchelewa kuuvunja huu muungano faida watapata wazenji...
Uraia Pacha na kuruhusu wageni kumiliki ardhi in the end zitawapa wazanzibar haki ya kumiliki ardhi bila ulazima wa muungano
Siku huu muungano ukivunjika, itaonekana chuki za wazi wazi si ajabu hata wanaomiliki ardhi kutoka zenj wakanyanganywa na biashara zao kuharibiwa.
 
Hata sasa hivi bado huu Muungano unawanufaisha wao.Maana wapo kama kupe
 
Kwa Zanzibar tume huru ya uchaguzi inaweza ikawa jibu kama ccm itaiheshimu. Kusiwe na jeshi, kusiwe na ujecha wala umagufuli( wizi wa uchaguzi mazima).
 
Siku huu muungano ukivunjika, itaonekana chuki za wazi wazi si ajabu hata wanaomiliki ardhi kutoka zenj wakanyanganywa na biashara zao kuharibiwa.

Wanyang'anywe na nani?
Mbona kuna wachina na wakenya tayari wanamiliki ardhi?
 
Mtoa mada usichotambua kuwa, Tanganyika na Zanzibar zinatawaliwa na watu wachache tu, ambao hao watatawala vizazi na vizazi vyao.
 
Kuna watanganyika kama wamepagawa na chuki Kwa wazanzibar...Hadi wanasahau kuchelewa kuuvunja huu muungano faida watapata wazenji...
Uraia Pacha na kuruhusu wageni kumiliki ardhi in the end zitawapa wazanzibar haki ya kumiliki ardhi bila ulazima wa muungano
Binafsi siwachukii wazanzibari wanaoupenda huu Muungano...

Nawachukia wanaotaka ufe...

Nawachukia hawa wabara wenzangu wanaoitaka TANGANYIKA mfu.....
 
Siku huu muungano ukivunjika, itaonekana chuki za wazi wazi si ajabu hata wanaomiliki ardhi kutoka zenj wakanyanganywa na biashara zao kuharibiwa.
....na kwa hoja hii ni lazima tuulinde kwa nguvu zote....

#Punda afe Muungano uishi[emoji120]
 
Kwa Zanzibar tume huru ya uchaguzi inaweza ikawa jibu kama ccm itaiheshimu. Kusiwe na jeshi, kusiwe na ujecha wala umagufuli( wizi wa uchaguzi mazima).
Nje ya CCM wazanzibari watapata tabu....
 
Nyerere aliivamia Zanzibar,akawauwa wazanziar na kuitawala zanzibar.mpaka sasa Zanzibar ni koloni la Tanganyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑
Dola gani linachukuliwa bila kumwaga damu?!

Lipi hilo ?[emoji44]
 
Ningehamia kabisa huko kula pweza kila siku na retirement yangu 😄 🤣
 
Back
Top Bottom