Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nani kasema tunatoa bure? Mbona kama wewe ndio umekurupuka?Kwenye hili huenda umejisahau au hujui kinachoendelea ila unasikia ya vijiweni. Bahati mbaya sana. Iko hivi: Chakula kinacholimwa TANGNYIKA kinauzwa Zanzibar na wala hakitolewi bure wala hakitolewi kama sadaka.
Kwa lugha rahisi, Zanzibar ni soko kwa wakulima wa Tanganyika. Siku Wazanzibari wakisema hawnunui chakula cha Tanganyika, na hilo linawezekana, Tanganyika itakuwa imekosa soko muhimu kwa bidhaa zake.
Chukua hiyo itakusaidia.
Tusipowauzia mtanunua wapi? Na kwa bei rafiki kama ya kwetu?
Wavivu mtakufa njaa sisi tuna population kubwa hatuwezi kupata hasara kama unayoisemea