Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Siku huu muungano ukivunjika, itaonekana chuki za wazi wazi si ajabu hata wanaomiliki ardhi kutoka zenj wakanyanganywa na biashara zao kuharibiwa.Kuna watanganyika kama wamepagawa na chuki Kwa wazanzibar...Hadi wanasahau kuchelewa kuuvunja huu muungano faida watapata wazenji...
Uraia Pacha na kuruhusu wageni kumiliki ardhi in the end zitawapa wazanzibar haki ya kumiliki ardhi bila ulazima wa muungano
Hata sasa hivi bado huu Muungano unawanufaisha wao.Maana wapo kama kupeKuna watanganyika kama wamepagawa na chuki Kwa wazanzibar...Hadi wanasahau kuchelewa kuuvunja huu muungano faida watapata wazenji...
Uraia Pacha na kuruhusu wageni kumiliki ardhi in the end zitawapa wazanzibar haki ya kumiliki ardhi bila ulazima wa muungano
Siku huu muungano ukivunjika, itaonekana chuki za wazi wazi si ajabu hata wanaomiliki ardhi kutoka zenj wakanyanganywa na biashara zao kuharibiwa.
Binafsi siwachukii wazanzibari wanaoupenda huu Muungano...Kuna watanganyika kama wamepagawa na chuki Kwa wazanzibar...Hadi wanasahau kuchelewa kuuvunja huu muungano faida watapata wazenji...
Uraia Pacha na kuruhusu wageni kumiliki ardhi in the end zitawapa wazanzibar haki ya kumiliki ardhi bila ulazima wa muungano
....na kwa hoja hii ni lazima tuulinde kwa nguvu zote....Siku huu muungano ukivunjika, itaonekana chuki za wazi wazi si ajabu hata wanaomiliki ardhi kutoka zenj wakanyanganywa na biashara zao kuharibiwa.
Nje ya CCM wazanzibari watapata tabu....Kwa Zanzibar tume huru ya uchaguzi inaweza ikawa jibu kama ccm itaiheshimu. Kusiwe na jeshi, kusiwe na ujecha wala umagufuli( wizi wa uchaguzi mazima).
Tanganyika dola ni mfu... haifufuki ng'ooo.....Na sisi Tanganyika tudai wapi Uhuru [emoji28][emoji28]
Mnawapa bure?! [emoji44][emoji44][emoji44]Kwanza hata chakula tunawalimia bora huo muungano ufe
Dola gani linachukuliwa bila kumwaga damu?!Nyerere aliivamia Zanzibar,akawauwa wazanziar na kuitawala zanzibar.mpaka sasa Zanzibar ni koloni la Tanganyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑
Nenda hukatazwi...zenji si Rwanda....Ningehamia kabisa huko kula pweza kila siku na retirement yangu [emoji1] [emoji1787]