Kwanini Zanzibar haipewi uhuru wake toka kwa Watanganyika?

Nani kasema tunatoa bure? Mbona kama wewe ndio umekurupuka?

Tusipowauzia mtanunua wapi? Na kwa bei rafiki kama ya kwetu?

Wavivu mtakufa njaa sisi tuna population kubwa hatuwezi kupata hasara kama unayoisemea
 
Wazalendo Uchwara utawajua.


Ubepari wa Kibeberu unawasumbua


Nyerere is here to Stay. Get a grip.
 
Nani kasema tunatoa bure? Mbona kama wewe ndio umekurupuka?
Huelewi hata kusoma kilichoandikwa. Huwa inaitwa "ignorance".
Tusipowauzia mtanunua wapi? Na kwa bei rafiki kama ya kwetu?
Huenda huelewi. Kawaulize wazee wako, kwani unaelekea ni mtoto mdogo, Wazanzibari kabla ya muungano huu walikuwa wananunua wapi chakula? Halafu waulize kama Wazanzibari waliwahi kuja kuomba huko Tanganyika.
Wavivu mtakufa njaa sisi tuna population kubwa hatuwezi kupata hasara kama unayoisemea
Unazungumzia uvivu? Unajua maanaya neno uvivu? Uvivu, nikwambie ni hali ya kutofanya kazi. Matokeo ya uvivu ni ukosefu wa rasilmali, kama chakula na mambo mengine. Wazanzibari, kwa ardhi yao, hawawezi kujitosheleza kwa chakula na hivyo wananunua nje na wala hawaombi bali wanatumia pesa zao. Kwa Watanganyika wanalima kwasababu ya ardhi waliyonayo, wanawauzia Wazanzibari ambao wana pesa.

Jiulize:
1. Pale Daslama kuna Wazanzibari wangapi wafanya biashara?
2. Kule serikalini walikuwepo akina Salim Ahmed na sasa wako akina Mbarawa. Hivi hawa ndo mifano ya wavivu?

Kuwa na population kubwa hakuzuii kupata hasara. Hasara inakuja pale bidhaa yako inapokosa soko. Zanzibar ni soko kwa wakulima wa Tanganyika.

Mwisho, nakusihi, maneno ya vijiweni huwa hayaletwi JF home of great thinkers. Fikiria kwanza kabla kuandika kwani tunaojua tupo tutakuumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…