and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Siyo Pandikizi la nchi yo yote! Ndiyo maana ana uchungu na Taifa lake na yuko tayari kupambana na Nchi za Magharibi na vibaraka vyake kwa ajili ya kuilinda Russia.Na Putin ni pandikizi la wapi
Russia wamepoteza maelfu ya wanajeshi kama ilivyo kawaida ya madikteta wa dunia hii putin wala haimuumizi!Zelensky ni Pandikizi la West! Hata Ukraine ikiteketea yeye hana hasara.
Kama kawaida kufikiri kwa kutumia wesereZelensky ni Pandikizi la West! Hata Ukraine ikiteketea yeye hana hasara.
Uzi umewazidi uwezo wazee wa porojo. Nao badala ya kujificha ili wasijulikane, badala yake wanajaribu kutia neno ktk mjadala unaowahitaji watu wenye matumizi sahihi ya ubongo.Hapo umejibu swali lipi?
NAKATAA: Maswali na uzi wenyewe unavyojitafsiri siyo wa mtu mpumbavu hata kidogo. Tengua kauli.Ongera kwa UPUMBAVU. Unajua kitu kinachoitwa mikakati?
Inakuwaje hamjibu maswali yetu na badala yake mnakuja na hoja zingine. Hebu tueleze;Ila NATO wanafiki sana, Libya walikuja sasa sijui wale waasi wa Libya walikua wamejiunga na NATO, sasa hivi hawataki kujitangaza wanaingia Ukraine wamebaki kupigana vita indirect na Russia. Ila hao washenzi kwa uonevu waliofanya acha waaibike, US imemwaga sana damu za watu innocent wakishirikiana na hao EU kwa miaka na miaka. This time arround wamegusa pabaya.
Cha ajabu maswali ya mtu mpumbavu wanashindwa kuyajibu wanapiga porojo tu.NAKATAA: Maswali na uzi wenyewe unavyojitafsiri siyo wa mtu mpumbavu hata kidogo. Tengua kauli.
Kwa uelewa wako kumbe Ukraine ni Russia.Siyo Pandikizi la nchi yo yote! Ndiyo maana ana uchungu na Taifa lake na yuko tayari kupambana na Nchi za Magharibi na vibaraka vyake kwa ajili ya kuilinda Russia.
Umeshajibiwa bado umekaza fuvu.Inakuwaje hamjibu maswali yetu na badala yake mnakuja na hoja zingine. Hebu tueleze;
1. Kwa uelewa wako, NATO ndo kaenda kuvamia Ukraine?
2. Ukraine ndo kavamia Russia?
Haulazimishwi kuamini anachokilalamikia putini, wewe endelea kuamini anachosema Zelensky na marekani. Russia imeshaamua kutetea maslahi yake na hakuna wa kum stop ktk hiloHata Ukraine hakuwa na mikakati hiyo ya kuivamia Urusi kwa kushirikiana na NATO hizo ni propaganda za Urusi kuhalalisha Uvamizi wake yeye Urusi ndio mwanzilishi wa vita vya kichokozi alianza kwa kuivamia Crimea akarudi akawaunga mkono waasi wa luhask na Donesk wajitengee Ukraine sasa akaivamia Ukraine yote mpaka sasa Putin sababu zake za kuivamia Ukraine hazieleweki huwa anabadilisha kila wakati alisema kuiondolea Ukraine nguvu za kijeshi akasema ni kuwaondoa wauza madawa ya kulevya,baada kuwaondoa wanazi maomboleo baadaye kuwatetea wananchi waukraine mashariki wanaozungumza kirusi
Uzi wa kipumbavu na maswali ya kipumbavu. Hii ni sawasawa na kumpa hakimu kuhukumu kesi yenye masilahi naye ya moja kwa mojaNAKATAA: Maswali na uzi wenyewe unavyojitafsiri siyo wa mtu mpumbavu hata kidogo. Tengua kauli.
Sababu dola la RUSSIA [emoji635] linapigania usalama wake na DUNIA kwaujumla baada ya hii SMO kumalizika Dunia haitakua kama ilivyokua awaliKivipi hebu tueleze
Kasome Cuba [emoji1083] missile crisis halaf ulinganishe nahuu wa Ukraine [emoji1255] anachokifanya Russia [emoji635] ni sahihi sanaaaaaInakuwaje hamjibu maswali yetu na badala yake mnakuja na hoja zingine. Hebu tueleze;
1. Kwa uelewa wako, NATO ndo kaenda kuvamia Ukraine?
2. Ukraine ndo kavamia Russia?
Ningekuwa mpumbavu ningezaa na mama yako. Mwulize mama yako anajua tulichofanya naye mpaka ukazaliwa. Ndiyo maana nilikukataa sababu nilijua tu utakuwa mpumbavu.Haulazimishwi kuamini anachokilalamikia putini, wewe endelea kuamini anachosema Zelensky na marekani. Russia imeshaamua kutetea maslahi yake na hakuna wa kum stop ktk hilo
Uzi wa kipumbavu na maswali ya kipumbavu. Hii ni sawasawa na kumpa hakimu kuhukumu kesi yenye masilahi naye ya moja kwa moja
Una fikira za mwaka 47 kabisa. Endelea kujilisha upepo na kufurahisha nafsi yako.Sababu dola la RUSSIA [emoji635] linapigania usalama wake na DUNIA kwaujumla baada ya hii SMO kumalizika Dunia haitakua kama ilivyokua awali
HayaAnaechoza hua hasaidiwi anaesaidiwa niyule alichokozwa
Elimu ya mjinga ni.........Ningekuwa mpumbavu ningezaa na mama yako. Mwulize mama yako anajua tulichofanya naye mpaka ukazaliwa. Ndiyo maana nilikukataa sababu nilijua tu utakuwa mpumbavu.