Mkuu Akina Zitto wamebanwa huyo Kichere Ana CPA namba 1449 kasajiliwa NBAA.Zitto anasema CAG mpya anadai hanauwezo sijui amempima kwa kutumia nyanja zipi anadai pia kwenye board ya wahasibu na ukaguzi hayumo angali yumo zitto nashindwa kumuelewa anakwama wapiView attachment 1253042
Hahaha na wewe unajiita ni mwanaume shame!!Mahesabu ya ACT wazalendio hata Chadema wengi naona wamennyong'onyea.Ruzuku zitakaguliwa barabara Hadi shilingi ya mwisho ijulikane ilipo .Kuna viongozi wajiandae kwenda jela
Mkuu Akina Zitto wamebanwa huyo Kichere Ana CPA namba 1449 kasajiliwa NBAA.
Katika Waislamu waongo Zitto.Kabwe nii namba moja ila uongo wake achumge kwa wapemba walioingia ACT wazalendo.Wapemba wengi ni Waislamu hasa hawapendi mtu mwongo mwongo kitakachomkuta akiwadanganya asije kupiga yowe humu
Happy Zitto anaweweseka na Chadema wanajua anaenda washukia kukagia ruzuku Kama mwewe
CCM asiende kwa kua aliteuliwa na CHADEMA au act. Uzombie mtupu hakuna logicCAG mpya aanzie kwenye ukaguzi wa vitabu vya Mahesabu vya chadema na ACT wazalendo .Afanye special audit Kali.Atie timu ya uhakika ipige kambi huko.Ataona midudu kibao
Mnnnhh?????Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini
State agent
Mkuu SamahaniAlizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini
State agent
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Siyo hofu wala nini bali zito kaona mbali kuwa mkaguzi mpya wa Serikali kateuliwa maalum kwa kazi moja kwenda kuficha ukweli kuisafisha ATCL kuwalinda kwenye Dili la ununuzi wa Ndege lenye ufisadi wa kutisha, atajidai kukagua hesabu zake kisha kuja na majibu ya kuishangaza Duniani kuwa wapo safi, CAG mpya hana jipya zaidi ya kwenda kuharalisha wizi mkubwa, nia Aibu kubwaHofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Akague na procedure za manunuzi ya madege chakavu kwa cash, kivuko kibovu, akumbushie na zile 1.5 trillion zilipopotelea, na mwenendo wa chenga za makinikia zilipoishia, afufue na mauzo za nyumba za serikali.CAG mpya aanzie kwenye ukaguzi wa vitabu vya Mahesabu vya chadema na ACT wazalendo .Afanye special audit Kali.Atie timu ya uhakika ipige kambi huko.Ataona midudu kibao
Ni kwasababu CAG mpya anaogopwa na zito
Yaani chadema na ACT wazalendo Leo kutwa walikuwa wakimpomda CAG mpya kuwa sio msomi wa CPA .Sasa hivi wamejifungia vyooni wanajifanya Wana matumbo ya kuharisha baada ya kuambiwa anayo tena ya miaka mingiHahahah leo majini /mapepo ya zito hayata tulia
State agent
Tuanze na ruzuku za Chadema na ACT wazalendo kwanzaAkague na procedure za manunuzi ya madege chakavu kwa cash, kivuko kibovu, akumbushie na zile 1.5 trillion zilipopotelea, na mwenendo wa chenga za makinikia zilipoishia, afufue na mauzo za nyumba za serikali.
Mkuu Samahani
Nakuomba Sana Usipende Kutumia Vitu Vya Imani Za Watu Katika Mijadala Kama Hii, Inawakwaza Watu.
Mfano Hapo Umetumia Nyumba Ya Ibada Inayotumika Kuomba Kwa Mungu Na Yenye Nguvu Kwa Waislam.
Usifanye Hivi Sio Vizuri Najua Ulitaka Kufurahisha Jukwaa Au Ku Kutia Nguvu Hoja Yako Ila Hivi Sio Njia Sahihi.
Mimi Sio Wa Imani Hiyo Ila Naamini Katika Kila Kinachomkwaza Mwingine Na Mimi Kitanikwaza.
Asante.
Akague na procedure za manunuzi ya madege chakavu kwa cash, kivuko kibovu, akumbushie na zile 1.5 trillion zilipopotelea, na mwenendo wa chenga za makinikia zilipoishia, afufue na mauzo za nyumba za serikali.
Tuanze na ruzuku za Chadema na ACT wazalendo kwanza
Baadhi ya comments zinaashiria kunahitajika uwekezaji mkubwa kwenye vichwa vya watu..
MkuuHofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Hofu ni kuwa kichere hana uwezo na alithibitisha Rais wakati anawaapisha baada ya kumuondoa TRA,
Pia hofu ni kuwa hawezi kuwa na uthubutu wa kuhoji matumizi ya hovyo ya fedha za umma yanayofanywa na serikali hii nk nk