YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mkuu Akina Zitto wamebanwa huyo Kichere Ana CPA namba 1449 kasajiliwa NBAA.Zitto anasema CAG mpya anadai hanauwezo sijui amempima kwa kutumia nyanja zipi anadai pia kwenye board ya wahasibu na ukaguzi hayumo angali yumo zitto nashindwa kumuelewa anakwama wapiView attachment 1253042
Katika Waislamu waongo Zitto.Kabwe nii namba moja ila uongo wake achumge kwa wapemba walioingia ACT wazalendo.Wapemba wengi ni Waislamu hasa hawapendi mtu mwongo mwongo kitakachomkuta akiwadanganya asije kupiga yowe humu
Hapo Zitto anaweweseka yeye na Chadema wanajua CAG anaenda washukia kukagia ruzuku Kama mwewe