Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifike kipindi muwe na uzalendo na nchi yenu wakuu hasa pale panapokwenda kinyume na katiba na miongozo ya nchi yetu haijalishi mnalipwa kiasi gani kusifu kila kitu..
CAG mpya ana kipi kipya cha kuogopwa?iwapo tu tayari ameshavuruga TRA akatumbuliwa lakini leo amepewa kitu kikubwa zaidi sasa kama alishindwa kuwatendea haki wafanyabiashara tu je ataweza kuyatendea haki matumizi ya pesa za wananchi wote??
Dah mnaumiza sana pale mnapokuwa mnasifu hata vitu ambavyo nyie wenyewe binafsi hamvikubali mioyoni mwenu.
Akimaliza aende, chadema hakakague mapesa ya sabodo haliyo wapaga chadema wajenge chuo na makao makuu ya chama.Akague na procedure za manunuzi ya madege chakavu kwa cash, kivuko kibovu, akumbushie na zile 1.5 trillion zilipopotelea, na mwenendo wa chenga za makinikia zilipoishia, afufue na mauzo za nyumba za serikali.
Naiunga mkono hoja yako kwa 100% bahati mbaya katiba yetu haipo kama ya Afrika kusini kwani mda huu Bunge lingekuwa linapiga kura ya kutokuwa na imani na mtukufu magufuliHuo ni mpango wa maandalizi ya mazingira ya upigaji bila kuulizwa. Huyu Jiwe anafanya kazi na kikundi alichozoea kuiba nacho huko TANROADS, TBA na Wizara ya Ujenzi.
Akimaliza aende, chadema hakakague mapesa ya sabodo haliyo wapaga chadema wajenge chuo na makao makuu ya chama.
Uzalendo wa kuchukia wengine na kujiona wewe tu ndio unajua
hahhahhahhahahCAG mpya aanzie kwenye ukaguzi wa vitabu vya Mahesabu vya chadema na ACT wazalendo .Afanye special audit Kali.Atie timu ya uhakika ipige kambi huko.Ataona midudu kibao
Sio kweliCAG mpya hana mpya zaidi ya kwenda kuharalisha ufisadi kwenye ununuzi wa Ndege na miradi mipya yote
Leta hiyo hofu hapa ili tujadili, maana, mara nyingine inaweza kuwa wewe ndiye mwenye hofuHofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Wewe kwanini ulifurahia sana kipindi CAG profesa Assad alipo fukuzwa kwa mizengwe?Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Safari hii hata ATLC hesabu zake zitakaguliwa .Mahesabu ya ACT wazalendio hata Chadema wengi naona wamennyong'onyea.Ruzuku zitakaguliwa barabara Hadi shilingi ya mwisho ijulikane ilipo .Kuna viongozi wajiandae kwenda jela
Alikuwa ni mcha Mungu hivyo tuliogopa hataweza kutusikiliza matakwa yetu ya kuficha maovu yetu
Kwanini nyie mnamuogopa Prof. Assad?
Mmekwiba sana matrillioni ya watanzania nyinyi MATAGAHapa ndipo kelele zinapoanzia
Mbona jiwe alikuwa hataki wakaguliwe?Kwa Nini isikaguliwe?
Cdm inakuhusu nini wakati wewe na mwenyekiti wenu nishakwambia kuwa cdm imekufa?Kutesa kwa zamu Sasa ni zamu ya ACT wazalendo na Chadema kumuogopa CAG Kichere.Maana Profesa Assad alikuwa mshikaji wao akiwaachia tu wakijimwayamwaya na ruzuku wanavyotaka
Kwani ATCL,BANDARI,STIGLERS,SGR ameshamaliza?CAG mpya aanzie kwenye ukaguzi wa vitabu vya Mahesabu vya chadema na ACT wazalendo .Afanye special audit Kali.Atie timu ya uhakika ipige kambi huko.Ataona midudu kibao