Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hakuna mahala ulipothibitisha kuwa alipiga pesa waziwazi.Huamini kwamba JPM alikuwa fisadi namba moja kipindi cha udikteta uchwara wake???
Hutaki asemwe??!-----au nawewe ulikuwa na maslahi naye??!!
Mwizi huwa anapiga pesa kiwaziwazi? wewe sasa ndiye unathibitisha kuwa hakupiga pesa kiwaziwazi hivyo alikuwa fisadi,🤣Hakuna mahala ulipothibitisha kuwa alipiga pesa waziwazi.
Fisadi No1.Jamaa alikuwa fisadi kweli kweli.
Hizo pesa alizopiga kazipeleka wapi? Acheni propaganda za kipumbavu za wanasiasa wachumia tumbo.Huamini kwamba JPM alikuwa fisadi namba moja kipindi cha udikteta uchwara wake???
Hutaki asemwe??!-----au nawewe ulikuwa na maslahi naye??!!
Kila kitu ulichoandika kinawezekana kabisa. CAG alituambia mpaka stendi ya mbezi na masoko ya kisasa yaliyojengwa karibu nchi nzima hayana manufaa. Tafakari!!Kwa nini CAG anaandika report inayoifanya zitto amkosoe JPM?
Kwa nini serikali Inamuajiri CAG aandike report ya kumchafua JPM?...
Kila kitu ulichoandika kinawezekana kabisa. CAG alituambia mpaka stendi ya mbezi na masoko ya kisasa yaliyojengwa karibu nchi nzima hayana manufaa. Tafakari!!
ChatoHizo pesa alizopiga kazipeleka wapi? Acheni propaganda za kipumbavu za wanasiasa wachumia tumbo.
Kutaja mahovyo hovyo ya Dr. Jiwe?Zitto mchumiatumbo.
Usaliti.Kutaja mahovyo hovyo ya Dr. Jiwe?
Kwani jpm Ni Nani? Kama aliharibu nchi asisemwe? Nyie sukuma gang mna matatzoKama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?...
Jpm mwenyewe alikuwa muovu. Lini muovu akataka muovu mwenye anayemuhisi!!Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?...
1.5 triliionHakuna mahala ulipothibitisha kuwa alipiga pesa waziwazi.