Unazungumziaje hizi 2 ambazo hazikukusanywa..1.5 na 2 zinafafana?
Mbona wanasiasa hawazisemi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumziaje hizi 2 ambazo hazikukusanywa..1.5 na 2 zinafafana?
ukitaka kujua ubaya. upumbavu na upuuzi wa magufuli jiulize kwann alimfukuza kazi prof. MUSSA ASSAD?Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?
Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.
Marehemu aombewe ili apumzike kwa amani, ila nyie mliobaki ndio msaidie sasa kueleza, mathalani hela za plea bargain za watuhumiwa wa ufisadi zimeenda wapi kama kweli hazionekani?!Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?
Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.
Kwani hapo kabla kuna aliyefikiri Lowassa anasafishika?Huyu alielala umauti hasafishiki kame
Kumbe CAG nae huwa anafukuzwa tu kazi rais akitaka?ukitaka kujua ubaya. upumbavu na upuuzi wa magufuli jiulize kwann alimfukuza kazi prof. MUSSA ASSAD?
Pima madhara ya ile kauli yake kwenye teteneko kule bukoba
pima madhara ya msimamo wake juu ya UVCO 2020.
Angalia madhara ya kupeleka jesh kwenye korosho
angalia madhara ya kikokotoo ile sheria
niishie hapo ila yule alikuwa juha
Dah we noma asee nimecheka mpaka bassssKwa nini CAG anaandika report inayoifanya zitto amkosoe JPM?
Kwa nini serikali Inamuajiri CAG aandike report ya kumchafua JPM?
Kwa nini printers na makaratasi zinakubali kutumia kuandikiwa report ya kumchafua JPM
Jibu ni jepesi
'kwa sababu alikuwa mchafu'
Km ana akili ya kuweza kujua mbinu itakayompa ulaji Basi ujue siyo mjinga huyo, Ni mwerevu ile mbayaZitto asipojikomba na kujipendekeza atakula mavi hapa mjini. Ni mjinga mno huyu jamaa.
Msafishe basi tuone kamwe haitakaa itokeeKwani hapo kabla kuna aliyefikiri Lowassa anasafishika?
Kwani kuna uchafu gani?Msafishe basi tuone kamwe haitakaa itokee
Magufuri anachafuliwaje wakati alikuwa mchafu zaidi ya kinyesi?Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?
Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.
Mbona wewe umekomaa kutetea ujinga? Watu Wana nyongo ya miaka 6 waliyoumizwa halafu wewe unawarudisha kukumbuka machungu? Rais Samia anarejesha mshikamano na furaha iliyopotea usianze tena kuchefua watu waloumizwa.Wewe ni mjinga na unafikiri kwa kutumia makalio.
Kazi ya CAG ni kuchambua matumizi ya pesa iliyoidhinishwa na isiyoidhinishwa. Kama kuna matumizi mbaya au upotevu lazima aonyeshe, lakini pia huonyesha wizi wa wazi na usio wa wazi. Pia huangalia ubora/ukubwa wa mradi na pesa iliyotuimika.Kila kitu ulichoandika kinawezekana kabisa. CAG alituambia mpaka stendi ya mbezi na masoko ya kisasa yaliyojengwa karibu nchi nzima hayana manufaa. Tafakari!!