Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

Mfumo wa Auditing anaotumia CAG unatoa mwanya kwa watu wenye nia Ovu kuhukumu wenzao pasipo haki.
CAG anakagua mchakato mzima wa matumizi kuanzia procurement process, Documentation, Quality ya Bidhaa na Huduma husika vs Bei (Value for Money), Plans na Outcome
Akija kwako akikuta pikipiki SanLg 150cc ipo na inatumika kiofisi kwa mujibu wa malengo na ilinunuliwa kwa bei resonable lakini tendering haikufuata utaratibu yeye atasema hela zimefujwa, akikuta kila kitu kipo nyaraka kama Risiti sio efd atakuambia kuna shida... Sasa hapo wanasiasa uchwara watasema hela zimeliwa.
Kuna kesi moja mwaka huu ripoti inasema kwenye ujenzi wa Zahanati kuna vifaa vya milioni 170 vina risiti feki. Sasa unajiuliza vifaa vilivonunuliw vilikuwa halisi?
Vilitumika ilivokusudiwa?
Zahanati ilijengwa kwa ubora?
Kwa hiyo shida ni risiti feki tu?
Basi taarifa iwe na maelezo ya kina kwamba Vifaa halisi, ujenzi una kiwango, matumizi sahihi ya fedha lakini Mradi umeikosesha serikali kodi kwenye manunuzi ya 170ml kwa sababu ya kutolewa risiti feki.
Nimesoma humu JF kuhusu sakata e passport kumbe watuhumiwa waliswekwa ndani mwaka mzima bila dhamana kwa uhujumu uchumi
Mfumo wa CAG unaitaji katiba mpya. Kazi kwenu
 
Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?

Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?

Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.
HAKUNA UPOTOSHAJI WOWOTE MKIAMBIWA UKWELI ETI ANAPOTOSHA ZITTO ANASOMA ALICHOANDIKA CAG
 
Shida yule bwana alikuwa mshamba wa madaraka kila kitu alitaka afanye peke yake akaona kila mtu ni mwizi. Nchi ni watu ndugu siyo Mali ya rais.

Na ana bahati Sana amekufa kabla hajamaliza mda wake vinginevyo angeishi kwa taabu Sana angekuwa anazomewa barabarani akiwa anapita.
Mbona Nyerere hasemwi?

Watu wa barabarani ndio wale waliyoenda kumzika au wengine?
 
Kama unampenda, kazikwe naye, bado Kuna eneo kubwa tu pale
Wazanzibari walimpenda Maalim seif ila hawakuzikwa nae na Zitto alimpenda mama yake mzazi ila hakuzikwa nae, mambo ya kuzikwa mzima na marehemu ni tamaduni za kishenzi zilizopitwa na wakati.
 
Tunaongelea kiongozi wa nchi, mama yake zitto aliongoza nchi gani?
 
Modus operandi ikoje ili tujue ubadhirifu umefanyika?
SUmbukeni kutetea wizi wa shujaa. Ila watu walisha ongelea haya toka hata hajafa wengine wakapigwa risasi na wengine hatujui walipo. Na akakndoa wale wenye kutufunulia maovu ndani ya bunge akaweka watu wake wa kumsifu na kumsujudu. Hivyo usilazimishe waty tuamini upuuzi wenu na Dr Slaa mfia tumbo mwenzenu aka yuda eskariote. Zitto, Lema, Mbowe, Lissu nk bila kumsahau Pro Assad walikua wanakemea ubadhirifu au matumizi mabaya ya mali ya umma yaliyokua yanafanywa na shujaa na madudubyake yoote walikua wanamkosoa ulitaka kupata ukosoaji wa bunge ambalo ilikua hatuoni kinachojadiliwa..? Bunge lile lilokua halina meno la msifuni jiwe..? Lindani legacy's . Sisi tuache tulinde imani zetu, ukweli wetu na hatulazimishwi kuamini kitu cha hovyoo kwa maana tuna ubongo na fikra zetu lazima zichambue na kutenganisha mambo. #SUKUMA_GANG mkazikwe pale pembeniya mwendazake
 
Shida yule bwana alikuwa mshamba wa madaraka kila kitu alitaka afanye peke yake akaona kila mtu ni mwizi. Nchi ni watu ndugu siyo Mali ya rais.

Na ana bahati Sana amekufa kabla hajamaliza mda wake vinginevyo angeishi kwa taabu Sana angekuwa anazomewa barabarani akiwa anapita.
Kabsa angerushiwa hata mawe
 
Kamwe huyo unaejaribu kumshafisha hatakati kamwe... mpk dahari hatakaa atakate kabisa
 
Hakuna mahala ulipothibitisha kuwa alipiga pesa waziwazi.
Hahahaa! Chenge ni tajiri sana alipga wapi hela waziwazi? Familia ya Jk ni tajiri sana mpaka habari za mtaani zinaihusisha na umiliki wa kiwanda cha jambo( Shinyanga),vituo vya mafuta etc je wapi jk alipgpa waziwazi? Bashite ana mali nyingi sana kupita ule mshahara wake wa ukuu wa mkoa je ni wapi alipga hela waziwazi? Hivi unajua hela ya escrow iligawanywa kama njugu kutoka stanibic bank? Ni wapi imeelezwa walipga waziwazi? Unaijua Mayanga construction company.? Unaijua sheria za manunuzi ya umma na dhana ya mgongano wa maslahi?
 
Mfumo wa Auditing anaotumia CAG unatoa mwanya kwa watu wenye nia Ovu kuhukumu wenzao pasipo haki.
CAG anakagua mchakato mzima wa matumizi kuanzia procurement process, Documentation, Quality ya Bidhaa na Huduma husika vs Bei (Value for Money), Plans na Outcome
Akija kwako akikuta pikipiki SanLg 150cc ipo na inatumika kiofisi kwa mujibu wa malengo na ilinunuliwa kwa bei resonable lakini tendering haikufuata utaratibu yeye atasema hela zimefujwa, akikuta kila kitu kipo nyaraka kama Risiti sio efd atakuambia kuna shida... Sasa hapo wanasiasa uchwara watasema hela zimeliwa.
Kuna kesi moja mwaka huu ripoti inasema kwenye ujenzi wa Zahanati kuna vifaa vya milioni 170 vina risiti feki. Sasa unajiuliza vifaa vilivonunuliw vilikuwa halisi?
Vilitumika ilivokusudiwa?
Zahanati ilijengwa kwa ubora?
Kwa hiyo shida ni risiti feki tu?
Basi taarifa iwe na maelezo ya kina kwamba Vifaa halisi, ujenzi una kiwango, matumizi sahihi ya fedha lakini Mradi umeikosesha serikali kodi kwenye manunuzi ya 170ml kwa sababu ya kutolewa risiti feki.
Nimesoma humu JF kuhusu sakata e passport kumbe watuhumiwa waliswekwa ndani mwaka mzima bila dhamana kwa uhujumu uchumi
Good point.
 
CAG ni kama DPP atakukamata kwa tuhuma za wizi ubadhirifu au hata ugaidi. Kazi hake kubwa ni kukusanya ushahidi akupeleke mahakamani kuthibitisha mtazamo wake huku Mtuhumiwa ukipambana kuthbiitisha hana hatia.
Kipindi chote cha mchakato mtuhumiwa yuko innocent mpka GUILTY yake iwe proven.
Hata CAG akipeleka taatifa za awali kwa Raisi na Bunge ndio shauri linaanza kusikilizwa mwenye mamlaka ya kusema huyu ni mwizi sio CAG.. yeye anatuhumu hapa kunashida. Bungeni wanakaa; Mtuhumiwa, CAG na Bunge(KAMATI HUSIKA) Hapa ndio wanakuja uamuzi kuna shida au la .
Kabla ya hapo ni mbwembwe za wanasiasa.
Sasa hebu chukulia hii CAG anatangaza kuwa kulikuwa na Makusanyo hewa ya 2tr, TRA walitutangazia eti wamekusanya kumbe wametupanga... Hapo hapo anasema 1.5 tr hazionekani zimeenda wapi??
Mbona umesema hazikukusanywa?
Sasa mwanasiasa anachagua statement ipi nikiikomalia itanipa kick.
 
1.5 na 2 zinafafana?
 
Back
Top Bottom