Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kwani hao unafikiri walikuwa mafisadi wao pesa walizipeleka wapi? Pesa hazikosi sehemu ya kupeleka ndugu. We unajua akina jokate mwegelo walikuwa wanahongwa nini ili kuuingiziwa dudu?Hizo pesa alizopiga kazipeleka wapi? Acheni propaganda za kipumbavu za wanasiasa wachumia tumbo.