Watanzania msiwe wajinga.....wenzetu humu ndani wengi wao wanatupa tahadhali tujichunge na Zitto, huyu mtu ni sumu ya nchi kwani anatumiwa na CCM (sasa Mama Samia na Kikwete) ili kumchafua Magufuli. Tukumbuke, Kikwete alifanya ushenzi mwingi sana hapa nchini alipokuwa madarakani, mikataba feki, mikataba ya hasara, wizi serikalini, uozo makazini, vibaka kuwa ndiyo wenye nchi, na uuzaji unga ukiongozwa na mwanawe Ridhiwani. Magufuli alikuja na akatuambia hadharani kuwa hii nchi ilichezewa mno (akimlenga Kikwete na kundi lake la kijinga), kitu kilichowaudhi kina Kikwete na kibaraka wao Zitto. Zitto has always been under CCM payroll, yule wala si mpinzani bali ni political entrepreneur, akicheza na fursa za kuchafua maadui wa Kikwete pamoja na kuua upinzani.