mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Mnakuza tu mambo, jinsi ambavyo unavyomzungumzia huyo mtu ingekuwa ngumu kuona watu wengi vile kwenye msiba wake. Hebu fikirie jinsi ambavyo wewe unavyomchukia Magufuli kwa kigezo kwamba alikuwa katili hivi wewe ungeweza kuacha mambo yako na kwenda kumzika mtu ambaye ni katili kwa kiwango ambacho wewe unachomchukulia?
Lazima watu wakashamgae hivi mtu katili namna ile kumbe nayeye Mungu anaweza kumpiga rungu la kichwa pia, hiv akifa anakuwaje?
Wewe hujawahi ona jambazi limeuliwa na polisi watu wanajaa kwenda kushangaa kumbe hata jambazi linaweza pigwa risasi na kufa? Hiv jambazi likifa linafananaje?