Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

ukitaka kujua ubaya. upumbavu na upuuzi wa magufuli jiulize kwann alimfukuza kazi prof. MUSSA ASSAD?
Pima madhara ya ile kauli yake kwenye teteneko kule bukoba
pima madhara ya msimamo wake juu ya UVCO 2020.
Angalia madhara ya kupeleka jesh kwenye korosho
angalia madhara ya kikokotoo ile sheria
niishie hapo ila yule alikuwa juha
 
Marehemu aombewe ili apumzike kwa amani, ila nyie mliobaki ndio msaidie sasa kueleza, mathalani hela za plea bargain za watuhumiwa wa ufisadi zimeenda wapi kama kweli hazionekani?!
 
Kumbe CAG nae huwa anafukuzwa tu kazi rais akitaka?
 
Dah we noma asee nimecheka mpaka bassss
 
Zitto asipojikomba na kujipendekeza atakula mavi hapa mjini. Ni mjinga mno huyu jamaa.
Km ana akili ya kuweza kujua mbinu itakayompa ulaji Basi ujue siyo mjinga huyo, Ni mwerevu ile mbaya
 
Magufuri anachafuliwaje wakati alikuwa mchafu zaidi ya kinyesi?
 
Wale aliowatanguliza kuzimu Kwa mauwaji yake watokuwa wanamla kiboga fala yule
 
Wewe ni mjinga na unafikiri kwa kutumia makalio.
Mbona wewe umekomaa kutetea ujinga? Watu Wana nyongo ya miaka 6 waliyoumizwa halafu wewe unawarudisha kukumbuka machungu? Rais Samia anarejesha mshikamano na furaha iliyopotea usianze tena kuchefua watu waloumizwa.
 
Kila kitu ulichoandika kinawezekana kabisa. CAG alituambia mpaka stendi ya mbezi na masoko ya kisasa yaliyojengwa karibu nchi nzima hayana manufaa. Tafakari!!
Kazi ya CAG ni kuchambua matumizi ya pesa iliyoidhinishwa na isiyoidhinishwa. Kama kuna matumizi mbaya au upotevu lazima aonyeshe, lakini pia huonyesha wizi wa wazi na usio wa wazi. Pia huangalia ubora/ukubwa wa mradi na pesa iliyotuimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…