Taifa Linaenda kuwa na Mmomonyoko Wa Maadili na KUBOMOKA Zaidi kipindi hiki kuliko Kipindi chochote huko nyuma...!
Haya Mambo ya Watu Wa Magharibi sio Lazima tuyaige yote....! Tusipoangalia hata Mapenzi Ya Jinsia moja tutambiwa ni Haki za Binadamu hivyo hatuna budi....Eeeeh Mola Tusaidie.
Hapa naongea Kwa Uchungu Sana liwalo na liwe....!
Uoga wako tu. Wewe unadhani kumomonyoka maadili ni watu kujamiana tu? Iwe jamii tofauti au jamii moja. Hauoni dhulma, ubakaji wa watu wazima na watoto, uuaji wa vikongwe, uuaji wa albino, unyang'aji, uvunjaji wa nyumba ( grili zinathibitisha hiyo), ufisadi, ubamizaji wa kutisha wa wake zetu na watoto wetu, rushwa iliyokithiri.Taifa Linaenda kuwa na Mmomonyoko Wa Maadili na KUBOMOKA Zaidi kipindi hiki kuliko Kipindi chochote huko nyuma...!
Haya Mambo ya Watu Wa Magharibi sio Lazima tuyaige yote....! Tusipoangalia hata Mapenzi Ya Jinsia moja tutambiwa ni Haki za Binadamu hivyo hatuna budi....Eeeeh Mola Tusaidie.
Hapa naongea Kwa Uchungu Sana liwalo na liwe....!
Usipende kutajiwa ulie zoea school feeding.Nitajie nchi moja Ulaya au Marekani au Australia au Canada ambako mwanafunzi anachapwa, anapimwa mimba na akipata mimba anafukuzwa shule. Nitajie hata nusu nchi. Hata robo nchi.
Amandla....
Sisi ni wa africa elimu kwetu nikitu kimekuja sasa tunapochukua elim yetu iwe kama ya ulaya na marekani walimu watashindwa na mwisho hili taifa litashuhudia mmomonjoko mkubwa wa maadili. God have a mercy on us.Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo
Mama samia unanasa kwenye mitego inayo haribu taifa kimaadili na kwa vile umenasa kwenye hayo basi la ushoga lipo njiani
Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo rasmi hapana
Nitajieni ni nchi gani ulaya na Amerika ambayo inatumia mfumo huu unao letwa tanzania.
Nadhani sasa tume halalisha mapenzi shuleni nadhani sheria za shule zirekebishwe swala la mapenzi na mimba lisiwe kosa tena si kwa mabint si kwa vijana.
Tuwaonee huruma walimu????? Watoto wengi hupewa mimba na walimuNyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo