Kwanza mwanafunzi asichapwe, pili akipata mimba arudi shuleni, tatu kama ana utovu wa nidhamu pia arudi shuleni. Waoneeni huruma walimu

Na kwambia achana na mimi abudu hiyo mizimu yako na mimi niache nimwabudu Mungu kupitia Yesu kiristo!
Yesu Kiristo alikuwa mmatumbi? Wewe si hautaki vya wazungu? Inakuwaje unamng'ang'ania Yesu Kiristo ambae hao hao wazungu ndio waliokuletea?

Ndio maana nimekuita limbukeni. Unaabudu kitu usichojua asili yake.

Amandla...
 
Mkuu malezi ya mtoto na makuzi ya mtoto yana amuliwa na maisha harisi ya mzazi, mtoto huchukua kutoka kwa mzazi. Kama wewe mzazi unatumia lugha chafu na mambo ya hovyo hovyo, tegemea mtoto atakuwa hivyo, na akiwa hivyo kwanini umbutue na mafimbo kabla wewe mzazi hujabadirika ? watoto hujifunza kutoka kwenye mazingira na jamii .. muepushe na mazingira na jamii ambayo ni negative
Huyo mtoto utakuwa unatembea nae mfukoni? Mtegemee Mungu katika njia zako naye atayanyoosha mapito yako! Wewe kwa akili yako watoto walioharibika wazazi wao hawakuwaepusha na jamii zilizoharibika? Tabia ya mtoto inatokana na mambo kama vile asili yake mwenyewe,wazazi na familia alipozaliwa,mazingira kama shule na n.k! Kwa taarifa yako bila Mungu hata um peleka boarding ya aina gani mtoto ataharibika na hautaamini kinachotokea!
 
Kwani kwa tafsiri ya marinda ni nini?au kwa upumbavu wenu mnageuza maana.yaani leo hii eti marinda ni kimekua kitu cha kushangazwa, wewe unadhani marinda ni nini sasa?

Kama unampenda sana mwanao kuliko wazazi wengine, muhamishe kabisa mpeleke huko ulaya akakae huko.
Nimekupa mfano huo, tayari unaniwazia upumbavu, sio kila kilocho andikwa kwenye bible ni direct langua, na ndio maana Yeremu aliambiwa waona nini akasema Birika linachemka ila tafsiri yake ikaja.. fimbo sio lazima mjeledi hata kutompa chakula inaweza ikawa fimbo kazi kwenu wenye akili nyingi
 
Kwani kwa tafsiri ya marinda ni nini?au kwa upumbavu wenu mnageuza maana.yaani leo hii eti marinda ni kimekua kitu cha kushangaza, wewe unadhani marinda ni nini sasa?

Kama unampenda sana mwanao kuliko wazazi wengine, muhamishe kabisa mpeleke huko ulaya akakae huko.
Yaani hawa watanzania wanatuharibia sana jamii yetu! Umarekani mwingi na uzungu wa kipumbavu usiona kichwa wala miguu!
 
Taifa Linaenda kuwa na Mmomonyoko Wa Maadili na KUBOMOKA Zaidi kipindi hiki kuliko Kipindi chochote huko nyuma.

Haya Mambo ya Watu Wa Magharibi sio Lazima tuyaige yote.

Tusipoangalia hata Mapenzi Ya Jinsia moja tutambiwa ni Haki za Binadamu hivyo hatuna budi....Eeeeh Mola Tusaidie.

Hapa naongea Kwa Uchungu Sana liwalo na liwe.
Hakuna litakalokuwa kiongozi
 
Huyo mtoto utakuwa unatembea nae mfukoni? Mtegemee Mungu katika njia zako naye atayanyoosha mapito yako! Wewe kwa akili yako watoto walioharibika wazazi wao hawakuwaepusha na jamii zilizoharibika? Tabia ya mtoto inatokana na mambo kama vile asili yake mwenyewe,wazazi na familia alipozaliwa,mazingira kama shule na n.k! Kwa taarifa yako bila Mungu hata um peleka boarding ya aina gani mtoto ataharibika na hautaamini kinachotokea!
Kama ni asili it means ni bloodline, ( shida ipo kwenye bloodline ) cha kwanza Mungu, cha pili ng'oa mizizi, unaweza piga hadi ukaua kama hujaona mzizi na kushughulika nao.. kuna matatizo kwa watoto ni zaidi ya uonavyo other ni too spiritual uta deal vipi na tatizo kama hilo kwa kumpiga viboko ?
 
Nimekupa mfano huo, tayari unaniwazia upumbavu, sio kila kilocho andikwa kwenye bible ni direct langua, na ndio maana Yeremu aliambiwa waona nini akasema Birika linachemka ila tafsiri yake ikaja.. fimbo sio lazima mjeledi hata kutompa chakula inaweza ikawa fimbo kazi kwenu wenye akili nyingi
Kwa hio wewe umekosa maneno mengine umeona marinda tu biblia nzima,yaani wewe lazima mtoto wako nae awe kilaza

Mpeleke huko ulaya bana,unajidai dai ulaya ulaya,wkt uwezo wako ni wa kusomesha kayumba
 
Mtoto ndie atae kuwa kilaza, and why uone marinda ni tatizo kama ni neno la kawaida katika biblia ? Wewe ni fimbo yangu na gongo langu unapata maana gani ?
 
Yesu Kiristo alikuwa mmatumbi? Wewe si hautaki vya wazungu? Inakuwaje unamng'ang'ania Yesu Kiristo ambae hao hao wazungu ndio waliokuletea?

Ndio maana nimekuita limbukeni. Unaabudu kitu usichojua asili yake.

Amandla...
Achana na mimi wewe ambaye sio limbukeni! Kama wewe sio limbikeni kipi kinakufanya ushadadie wazungu hapa! Hata unachosimamia hakipo! Unaishi maisha ya kipagani unataka kuniaminisha kuwa niko sehemu isiyo sahihi! Endela na upagani wako tena isitoshe kizazi chako kiwe cha mataahira mafiraji!
 
Nitajie nchi moja Ulaya au Marekani au Australia au Canada ambako mwanafunzi anachapwa, anapimwa mimba na akipata mimba anafukuzwa shule. Nitajie hata nusu nchi. Hata robo nchi.

Amandla....
Ndio maana demokrasia ya magharibi imefeli duniani, wachina wanasema huwezi kuforce demokrasia ya aina moja kwa nchi zote duniani, after all demokrasia kama ni kwa ajili ya watu na inatokana na watu iweje leo hii watz mfano tutumie demokrasia ya vyama vingi kama magharibi, wakati tume ya nyalali ilpokusanya maoni ya wananchi tuliamua hatutaki vyama vingi?!!! Ina maana mpaka leo hatumo kwenye demokrasia kwani maamuzi yetu sio hayo ila tunawafurahisha tu watu fulani, mchina kakataa upuuzi huo!
Vivyo hivyo mazingira yetu ya kiutamaduni ni tofauti na magharibi , maadili yetu ni tofauti kwa hiyo hizo comparison wala sio varid ila ni kujipendekeza tu na kuwafurahisha watu wengine, wao yamewashinda miaka ya 60 walikuwa hadi na viboko mashuleni hata majumbani siku hizi hata mzazi akimchapa mwanae anamshraki na anafungwa lakini angalia impact yake ndio jamii zao zina ongoza kuuana kwa risasi, madawa ya kulevya n.k
Swali je mambo hayo yatakapotokea kama matokeo huku kwetu je, tuna resorce za kuyahandle ikiwa tu wazungu wanatoka kamasi kwa kizazi kilivyoharibika huko kwao,
" MISAADA YENYE MASHARTI YA AJABU",!
 
Mtoto ndie atae kuwa kilaza, and why uone marinda ni tatizo kama ni neno la kawaida katika biblia ? Wewe ni fimbo yangu na gongo langu unapata maana gani ?
Ni neno la kawaida,akili yako kwa kua imeshaadhirika kisaikolojia ndio inaona ni neno la ajabu.

Wabongo ujuaji mwingi sana, ooh ulaya wapo hivi,sasa si na wewe na mwanao mkaishi ulaya huko
 
Taifa Linaenda kuwa na Mmomonyoko Wa Maadili na KUBOMOKA Zaidi kipindi hiki kuliko Kipindi chochote huko nyuma.

Haya Mambo ya Watu Wa Magharibi sio Lazima tuyaige yote.

Tusipoangalia hata Mapenzi Ya Jinsia moja tutambiwa ni Haki za Binadamu hivyo hatuna budi....Eeeeh Mola Tusaidie.

Hapa naongea Kwa Uchungu Sana liwalo na liwe.
Hakuna cha labda, hilo linakuja sema tu hawayaachii yote kwa mara moja, tutashtuka,
 
Biblia imeongea kwa picha nyingi sana, na sio kila andiko ni lako na si kila andiko lipo kwa ajiri ya sehemu flani. Neno linabaki kuwa hai
Wewe nikiazi kweli kama una mtoto au watoto fimbo haiepukiki ,bibilia yenyewe inasema usimnyime mtoto fimbo
 
Ni neno la kawaida,akili yako kwa kua imeshaadhirika kisaikolojia ndio inaona ni neno la ajabu.

Wabongo ujuaji mwingi sana, ooh ulaya wapo hivi,sasa si na wewe na mwanao mkaishi ulaya huko
Wapi nimetaja ulaya ndio ujione kwamba umedaka kisicho chako. Narudi point mtoto na malezi na makuzi ya mtoto yaliyo mema hayajengwi kwenye mapigo.. wala fimbo tumeona watoto hasa wa kwenye kota za jeshi na polisi wakila kila aina ya fimbo na mapigo ila ndio wakazidi kuharibika sio mgeni kwenye malezi mie
 
Kama ni asili it means ni bloodline, ( shida ipo kwenye bloodline ) cha kwanza Mungu, cha pili ng'oa mizizi, unaweza piga hadi ukaua kama hujaona mzizi na kushughulika nao.. kuna matatizo kwa watoto ni zaidi ya uonavyo other ni too spiritual uta deal vipi na tatizo kama hilo kwa kumpiga viboko ?
Sasa ndo unakuja kwenye line yangu! Nakwambia hayo mambo ya kulea kiboko ni sehemu tu lakini pia nilazima uombe ili Mungu awaepushe na hila za dunia hii! Mda mwingi wazazi hatukai na watoto kwa hiyo unamfundisha mtoto kimwili kama kumkanya,kiboko kwa lengo la kumfundisha sio kumuumiza na kiroho kwa maombi!
 
Wapi nimetaja ulaya ndio ujione kwamba umedaka kisicho chako. Narudi point mtoto na malezi na makuzi ya mtoto yaliyo mema hayajengwi kwenye mapigo.. wala fimbo tumeona watoto hasa wa kwenye kota za jeshi na polisi wakila kila aina ya fimbo na mapigo ila ndio wakazidi kuharibika sio mgeni kwenye malezi mie
Basi lea wa kwako hivo usitulazimishe jjinga unaouamini watu wote tuamini hivo! Ngoja sie tufate maandika yanavo sema tukiwalea watoto kwa kuwafundisha kiroho na wakizingua kimwili tunawachapa kwa lengo la kuwekana sawa sio kuumizana! Hao watoto wa kota za jeshi au polisi sio kigezo cha kuwafanya watu waache kuwakanya watoto wao! Hapo umefeli!
 
Wapi nimetaja ulaya ndio ujione kwamba umedaka kisicho chako. Narudi point mtoto na malezi na makuzi ya mtoto yaliyo mema hayajengwi kwenye mapigo.. wala fimbo tumeona watoto hasa wa kwenye kota za jeshi na polisi wakila kila aina ya fimbo na mapigo ila ndio wakazidi kuharibika sio mgeni kwenye malezi mie
Wewe bana,hapa Tz mtoto atakula fimbo hutaki shika bango,mama samia akipita andamana.au anzisha shule yako.walimu wasiache kutumia fimbo

Tz mtoto analelewa kimaadili ya kitanzania.
 
Unapo onesha ujinga zaid ni pale unapo fananisha mwanafunzi wa nchi za dunia ya kwanza na mwanafunzi wa dunia tatu huko anaye enda shule na kidumu cha maji na ufagio hana hata viatu
Mjinga ni yule anayejibu kitu ambacho anadhani amekielewa..
 
Sasa ndo unakuja kwenye line yangu! Nakwambia hayo mambo ya kulea kiboko ni sehemu tu lakini pia nilazima uombe ili Mungu awaepushe na hila za dunia hii! Mda mwingi wazazi hatukai na watoto kwa hiyo unamfundisha mtoto kimwili kama kumkanya,kiboko kwa lengo la kumfundisha sio kumuumiza na kiroho kwa maombi!
Mkuu, sipingani na wewe.. tumeachana njia ya tunavyotaka kupita, ila mwisho wa siku jibu linaenda kuwa moja. Mimba inawekwa wakfu kwa ajiri ya usalama wa mtoto toma akiwa tumboni na kumtenganisha na kila kisicho cha Mungu, mtoto anazaliwa anawekwa wakfu kwa Mungu akue katika kimo na hekima akimcha Mungu na kumpendeza Mungu na wanadamu.. usikivu ukikomaa katika kumtii Mungu zaidi kwa huyo mtoto kiwango kikubwa cha utii kitakuwa kwa wazazi pia huto hitaji kiboko but ni chaguo naweza nisipige kiboko nikamyima chakula au uhuru flani na ikawa adhabu kali zaidi yenye kumfanya kuwa nidhamu
 
Back
Top Bottom