Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Yesu Kiristo alikuwa mmatumbi? Wewe si hautaki vya wazungu? Inakuwaje unamng'ang'ania Yesu Kiristo ambae hao hao wazungu ndio waliokuletea?Na kwambia achana na mimi abudu hiyo mizimu yako na mimi niache nimwabudu Mungu kupitia Yesu kiristo!
Ndio maana nimekuita limbukeni. Unaabudu kitu usichojua asili yake.
Amandla...