Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

Nimekuwa napata ukakasi kuhusu matumizi ya haya maneno kwani ni dhahiri kuwa Matatizo pia yaweza kuanzia hapa.

Kwanza sitaki kuamini ya kwamba hilo eneo ni la/au ni kwa ajili ya Jamii yoyote na si ya Kimasai pekee, na pia siamini kama waishio huko ni Wamasai pekee.

Pia kwa kutumia na kusisitiza kunasibisha eneo hili na Wamasai pekee ni kama ndio kunawapa kiburi cha kuamini hayo ni maeneo yao, kana kwamba Mungu aliwakabidhi wao tu...tofauti na ninavyofahamu mimi kwamba ardhi hii ni mali ya kila Mtanzania, na Raisi ndio Msimamizi kwa niaba ya Watanzania wote.

Ndio maana hata Viwanja tukimilikishwa tunapewa muda maalumu wa kumiliki, kwamba mkataba ukiisha Mamlaka kwa niaba ya Wananchi wote wanaweza kukwambia hatukuongezei tena muda wa kukaa eneo hili hivyo tafuta sehemu nyingine.

Hali inapaswa kuwa hivyo hivyo kwa kila Mwananchi bila upendeleo wala umaalumu wa Jamii moja kutoka nyingine.

Kama Mndengereko wa Mtwara atatakiwa ahame Kijiji tupitishe bomba la Gesi kwa manufaa ya Wananchi wote wakiwepo wale waishio Kigoma, basi hili laweza kumkuta pia Muha wa Kigoma, Mhehe wa Iringa, Mmasai wa Oldonyosambu n.k.

Na mbona Wamasai hao hao kama tu Jamii nyingine wamekuwa wakihama kutoka eneo moja hadi lingine tangu kale?.. Wangoni walitokea Kusini mwa Afrika, Wa iraq wametokea Kaskazini wa Africa...vipi leo waone ugumu wakiambiwa tunataka muhamie kati kati ya Nchi?.

Sitounga mkono iwapo hili litafanywa kwa manufaa ya Wachache lakini nitaunga mkono kama litafanywa kwa manufaa ya wengi, na kwa bahati mbaya au nzuri mpaka sasa sijaona sababu za kuniridhisha kuwa kinachofanywa ni uonevu na si kwa manufaa ya Uma wote wa Tanzania.

Mimi ni muumini wa mazingira na huwa natamani kuona lililo na nia njema linafanikiwa haswa kama ni kwa manufaa ya mazingira.

Kwa ujinga ambao Binaadamu tumekwishaufanya kwa Mazingira mpaka sasa naamini hata Mungu angetamani sisi Binaadamu wote tuangamie Wabaki Wanyama, Wadudu, Miti ,Milima, Mabonde n.k. isiyolipiza ubaya na ukatili wa sisi Viumbe Mwenzao Binaadamu.
Unachosema wewe ni theory for public consumption. Lakini practical ni kwamba hiyo ni ardhi ya wamaasai wa Ngorongoro. Tena wameipata kwa kumwaga damu kupitia kupigana na makabila mengine kama Wataturu, Wamang'ati, Wairaq etc.
 
Nimekuwa napata ukakasi kuhusu matumizi ya haya maneno kwani ni dhahiri kuwa Matatizo pia yaweza kuanzia hapa.

Kwanza sitaki kuamini ya kwamba hilo eneo ni la/au ni kwa ajili ya Jamii yoyote na si ya Kimasai pekee, na pia siamini kama waishio huko ni Wamasai pekee.

Pia kwa kutumia na kusisitiza kunasibisha eneo hili na Wamasai pekee ni kama ndio kunawapa kiburi cha kuamini hayo ni maeneo yao, kana kwamba Mungu aliwakabidhi wao tu...tofauti na ninavyofahamu mimi kwamba ardhi hii ni mali ya kila Mtanzania, na Raisi ndio Msimamizi kwa niaba ya Watanzania wote.

Ndio maana hata Viwanja tukimilikishwa tunapewa muda maalumu wa kumiliki, kwamba mkataba ukiisha Mamlaka kwa niaba ya Wananchi wote wanaweza kukwambia hatukuongezei tena muda wa kukaa eneo hili hivyo tafuta sehemu nyingine.

Hali inapaswa kuwa hivyo hivyo kwa kila Mwananchi bila upendeleo wala umaalumu wa Jamii moja kutoka nyingine.

Kama Mndengereko wa Mtwara atatakiwa ahame Kijiji tupitishe bomba la Gesi kwa manufaa ya Wananchi wote wakiwepo wale waishio Kigoma, basi hili laweza kumkuta pia Muha wa Kigoma, Mhehe wa Iringa, Mmasai wa Oldonyosambu n.k.

Na mbona Wamasai hao hao kama tu Jamii nyingine wamekuwa wakihama kutoka eneo moja hadi lingine tangu kale?.. Wangoni walitokea Kusini mwa Afrika, Wa iraq wametokea Kaskazini wa Africa...vipi leo waone ugumu wakiambiwa tunataka muhamie kati kati ya Nchi?.

Sitounga mkono iwapo hili litafanywa kwa manufaa ya Wachache lakini nitaunga mkono kama litafanywa kwa manufaa ya wengi, na kwa bahati mbaya au nzuri mpaka sasa sijaona sababu za kuniridhisha kuwa kinachofanywa ni uonevu na si kwa manufaa ya Uma wote wa Tanzania.

Mimi ni muumini wa mazingira na huwa natamani kuona lililo na nia njema linafanikiwa haswa kama ni kwa manufaa ya mazingira.

Kwa ujinga ambao Binaadamu tumekwishaufanya kwa Mazingira mpaka sasa naamini hata Mungu angetamani sisi Binaadamu wote tuangamie Wabaki Wanyama, Wadudu, Miti ,Milima, Mabonde n.k. isiyolipiza ubaya na ukatili wa sisi Viumbe Mwenzao Binaadamu.
uko sahih snaa mkuu.. naunga mkono hoja 100%
 
INASEMWA WAMASAI WA NGORONGORO KWA SABABU WAMASAI WANAPATIKANA SEHEMU NYINGINE PIA.

1. SIHA KILIMANJARO wapo wamasai
2. MOROGORO wamejaa wamasai
3. LOLIONDO
4. LONGIDO
5. Manyara wapo na jirani hapo Kenya pia.
Utajuaje wamasai wanaozungumziwa bila kutaka utambulisho wa eneo lao? Kwamba kuna makabila mengine ndio sawa lakini sio wengi kama wamasai.
 
Wamasai wanaua sana Simba na wanyama uko, wanakula sana wanyama pori na mara nyingine huwapa ramani poachers tembo walipo na huwapa hifadhi pia, wanyama kama simba na chui na tembo ukiangalia wanakaa mbali sana na walipo wamasai na kila siku wanaongezeka, njia ni moja tu, waamishwe wapelekwe kwingine, tatizo ni wanaona kitega uchumi chao kinaondoka, na nyerere hakuona mbele akawaacha humo, enzi hizo walikuwa makumi elf sahv ni zaidi ya laki5, baada ya miaka 20 watakuwa milion10
Je wanyama wataishi wapii
Binadam tuna tanzania nzima ya kuishi na wanyama japo ni wengi tumewaachia kasehem kadogo
Sasa kwann tuwaaache wamasai wajazane na kuwapora wanyama eneo lao
Mama we watoe humo baada ya miaka 10 wote watakuwa washasahau na kuzoea
Kabisa mkuu... Wamezoea kula nyama za kitonga za bure porin.. mama.e zao.. waje huku wajichanganye... Wanatumia mapori na hifadh kwa advantage ya kitonga.. maisha... Nyama bure. Matunda bure. Ardhi bure..

Naunga mkono kutolewa hao was.e....
 
Kama wewe ni mwanamazingira kweli ungeanza na hao wanyama. Kwamba ikiwa nafasi haitoshi ku-coexist wao na binadamu nani ahame?

Kwamfano vyura wa project ya hydropower Kihansi (kama rare and endegered species) si baadhi yao walihamishiwa USA ili wasitoweke?

Kwahiyo punguzeni wanyama Ngorongoro (kama nao ni rare and endegered species) kutokana na idadi ya binadamu (Wamaasai) kuongezeka; basi hao wanyama waende Mikumi Ruaha au Chato nk.

Vinginevyo kuna jamii ya Watanzania ambayo hawaongezeki? Wanyakyusa Wandamba, Waluguru, nk wakiongezeka mtawahamishia wapi?

"Overriding interest" ya Serikali katika suala la ecosystem ya Ngorongoro lazima iwe uhai na ustawi wa binadamu! Sio wanyama au watalii au mapato ya nchi kama kodi, tozo, nk.
Umeongea upupu
 
Nimekuwa napata ukakasi kuhusu matumizi ya haya maneno kwani ni dhahiri kuwa Matatizo pia yaweza kuanzia hapa.

Kwanza sitaki kuamini ya kwamba hilo eneo ni la/au ni kwa ajili ya Jamii yoyote na si ya Kimasai pekee, na pia siamini kama waishio huko ni Wamasai pekee.

Pia kwa kutumia na kusisitiza kunasibisha eneo hili na Wamasai pekee ni kama ndio kunawapa kiburi cha kuamini hayo ni maeneo yao, kana kwamba Mungu aliwakabidhi wao tu...tofauti na ninavyofahamu mimi kwamba ardhi hii ni mali ya kila Mtanzania, na Raisi ndio Msimamizi kwa niaba ya Watanzania wote.

Ndio maana hata Viwanja tukimilikishwa tunapewa muda maalumu wa kumiliki, kwamba mkataba ukiisha Mamlaka kwa niaba ya Wananchi wote wanaweza kukwambia hatukuongezei tena muda wa kukaa eneo hili hivyo tafuta sehemu nyingine.

Hali inapaswa kuwa hivyo hivyo kwa kila Mwananchi bila upendeleo wala umaalumu wa Jamii moja kutoka nyingine.

Kama Mndengereko wa Mtwara atatakiwa ahame Kijiji tupitishe bomba la Gesi kwa manufaa ya Wananchi wote wakiwepo wale waishio Kigoma, basi hili laweza kumkuta pia Muha wa Kigoma, Mhehe wa Iringa, Mmasai wa Oldonyosambu n.k.

Na mbona Wamasai hao hao kama tu Jamii nyingine wamekuwa wakihama kutoka eneo moja hadi lingine tangu kale?.. Wangoni walitokea Kusini mwa Afrika, Wa iraq wametokea Kaskazini wa Africa...vipi leo waone ugumu wakiambiwa tunataka muhamie kati kati ya Nchi?.

Sitounga mkono iwapo hili litafanywa kwa manufaa ya Wachache lakini nitaunga mkono kama litafanywa kwa manufaa ya wengi, na kwa bahati mbaya au nzuri mpaka sasa sijaona sababu za kuniridhisha kuwa kinachofanywa ni uonevu na si kwa manufaa ya Uma wote wa Tanzania.

Mimi ni muumini wa mazingira na huwa natamani kuona lililo na nia njema linafanikiwa haswa kama ni kwa manufaa ya mazingira.

Kwa ujinga ambao Binaadamu tumekwishaufanya kwa Mazingira mpaka sasa naamini hata Mungu angetamani sisi Binaadamu wote tuangamie Wabaki Wanyama, Wadudu, Miti ,Milima, Mabonde n.k. isiyolipiza ubaya na ukatili wa sisi Viumbe Mwenzao Binaadamu.
Umekufuru,yaani Mungu abakivkutamani sisi tuangamie!
 
Kabisa mkuu... Wamezoea kula nyama za kitonga za bure porin.. mama.e zao.. waje huku wajichanganye... Wanatumia mapori na hifadh kwa advantage ya kitonga.. maisha... Nyama bure. Matunda bure. Ardhi bure..

Naunga mkono kutolewa hao was.e....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamasai wanaua sana Simba na wanyama uko, wanakula sana wanyama pori na mara nyingine huwapa ramani poachers tembo walipo na huwapa hifadhi pia, wanyama kama simba na chui na tembo ukiangalia wanakaa mbali sana na walipo wamasai na kila siku wanaongezeka, njia ni moja tu,

Waamishwe wapelekwe kwingine, tatizo ni wanaona kitega uchumi chao kinaondoka, na nyerere hakuona mbele akawaacha humo, enzi hizo walikuwa makumi elfu sasa hivi ni zaidi ya laki5, baada ya miaka 20 watakuwa milion10.

Je wanyama wataishi wapi

Binadam tuna tanzania nzima ya kuishi na wanyama japo ni wengi tumewaachia kasehem kadogo
Sasa kwann tuwaaache wamasai wajazane na kuwapora wanyama eneo lao.

Mama we watoe humo baada ya miaka 10 wote watakuwa washasahau na kuzoea
Tatizo sio kuwatoa hilo wengi wana-support ila issue ni nini kinaendelea baada ya kuwatoa..., Je ni ya Liliondo au hifadhi kweli inatunzwa kwa manufaa ya dunia nzima..., isije kuwa motive sio conservation bali ni wachache / walafi / mbuzi wasio na kamba...., kujinufaisha....

Kwahio wamasai waende na wawekezaji wasioeleweka pia wasije tuendelee under TANAPA kila mwenye vijisenti vyake aweze kwenda kushangaa
 
Kila mtu na asili yake, wale ni wamasai wa NCAA, kwanza hiyo mamlaka ilianzishwa ikiwa na mfumo wa kuishi na binadamu ndo maana iko tofauti na national park
 
Kabisa mkuu... Wamezoea kula nyama za kitonga za bure porin.. mama.e zao.. waje huku wajichanganye... Wanatumia mapori na hifadh kwa advantage ya kitonga.. maisha... Nyama bure. Matunda bure. Ardhi bure..

Naunga mkono kutolewa hao was.e....
Wamasai hawawindi ndugu. Wanakula nyama ya wanyama wafugwao ila hawali kitimoto na punda. Jiongezee uelewa.
 
WAchaga WA Machame

Wamakonde WA Tanzania

Waha WA kasulu

Wazaramo WA Pwani

Vipi na haya majina tuache kuyatumia ?
 
Wamasai hawawindi ndugu. Wanakula nyama ya wanyama wafugwao ila hawali kitimoto na punda. Jiongezee uelewa.
Jidanganye.. tena hao ndo wanaongoza kuuza nyama pori.. wanazileta mjin... Masai akiona njaa imekua kal.. hana peda/cash.. anavuta nshale tuu anajipigia mbogo.. anaenda uza nyama
 
Wamasai wanaua sana Simba na wanyama uko, wanakula sana wanyama pori na mara nyingine huwapa ramani poachers tembo walipo na huwapa hifadhi pia, wanyama kama simba na chui na tembo ukiangalia wanakaa mbali sana na walipo wamasai na kila siku wanaongezeka, njia ni moja tu,

Waamishwe wapelekwe kwingine, tatizo ni wanaona kitega uchumi chao kinaondoka, na nyerere hakuona mbele akawaacha humo, enzi hizo walikuwa makumi elfu sasa hivi ni zaidi ya laki5, baada ya miaka 20 watakuwa milion10.

Je wanyama wataishi wapi

Binadam tuna tanzania nzima ya kuishi na wanyama japo ni wengi tumewaachia kasehem kadogo
Sasa kwann tuwaaache wamasai wajazane na kuwapora wanyama eneo lao.

Mama we watoe humo baada ya miaka 10 wote watakuwa washasahau na kuzoea
nadhani hujui mila za wamasai wewe umeandikia kishabiki tu.Moja ya nuksi kwa wamasai ni kula nyama ya porini huwa wana imani wakifanya hivyo mifugo yao itatoweka
 
Wamasai wanaua sana Simba na wanyama uko, wanakula sana wanyama pori na mara nyingine huwapa ramani poachers tembo walipo na huwapa hifadhi pia, wanyama kama simba na chui na tembo ukiangalia wanakaa mbali sana na walipo wamasai na kila siku wanaongezeka, njia ni moja tu,

Waamishwe wapelekwe kwingine, tatizo ni wanaona kitega uchumi chao kinaondoka, na nyerere hakuona mbele akawaacha humo, enzi hizo walikuwa makumi elfu sasa hivi ni zaidi ya laki5, baada ya miaka 20 watakuwa milion10.

Je wanyama wataishi wapi

Binadam tuna tanzania nzima ya kuishi na wanyama japo ni wengi tumewaachia kasehem kadogo
Sasa kwann tuwaaache wamasai wajazane na kuwapora wanyama eneo lao.

Mama we watoe humo baada ya miaka 10 wote watakuwa washasahau na kuzoea
Ndio maana kila nikimsikiliza anayetetea uwepo wa Wamasai pale sioni haswa hoja ya msingi ya kulinda Mazingira.

Hebu tutoe kipaumbele kwa Mazingira na Viumbe hawa wasio na uwezo wa kutetea Mazingira yao dhidi ya Mhalifu na adui namba moja Binaadamu.

Sina sababu ya kuitetea Mamlaka lakini hata nikikaa chini na kutafakari hivi ni lini ongezeko la Binaadamu sisi, haswa ngozi nyeusi hii ikawa salama kwa Mazingira?...Hebu Watu waende sehemu yoyote yenye mrundikano wa Watu muone uharibifu unaofanyika.
 
Tukikuuluza we ni mtu wa wapi, utasema Mm naitwa "may day Mwanyiro mdigo mwenyeji Tanga wilaya ya mkinga kijiji Mwakijembe" Halafu hutak wamasai wawe na Asili?Ile ni ardhi yao kama waizraili walivyopewa kanaani na sayuni, kama Muarabu alivyopewa Makka ma Madina,Kama red Indians walivyopewa America,.Division hii kijiografia kaifanya Mungu muweza. Kila mtu ana Asili yake. #stopmasaieviction#
Ni sawa lakini hivi kwani wanahamishwa Nchini?.
 
Back
Top Bottom