Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

Kwani soko lake lipoje! Mi ntajaribu tuu ata kware 250. Niishafanyaga biashara ya asali ilikuwa nguumu hv hv ila nlitoboa sema majukumu yaiingiliana nkakosa muda wa kusafiri. Hvyo mi naamin nkiwa na mzigo stashindwa kuuza

Hii ndiyo spirit inyotakiwa kwenye biashara, Ubarikiwe sana kaka
 
swali icho chakula cha starter pellet kinapatikana wapi?

Chakula hiki kinapatikana kwenye maduka ya chakula cha mifugo, kipo kwenye mfumo wa bunje na unga kama vyakula vya kawaida, japokuwa unaweza kuwalisha chakula cha kawaida cha unga unga
 
Mnapatikana wapi? Siioni namba yenu ya simu ili tuwatafute.
 
Deo Benjamin, wewe bwana Mungu akubariki tu. Vision yangu ni kufuga kuku, kware na kanga. Nimetafuta sources za kupata elimu hiyo na hatimaye nimeikuta kwako ya kware. Nimezoea ufugaji wa asili kabisa lakini sasa nataka nifuge kijasiria mali. Asante sana kwa elimu yako. Umeahidi kuleta sehemu nyingine ambayo kwa kweli naingojea sana. Nitafurahi mno ukileta na ufugaji wa kuku wa kienyeji kijasiriamali vilevile kwani nimejaribu nikashindwa walikufa wote na nikakata tama. Nadhani shule inahitajika sana. Natanguliza shukrani. Endelea kubarikiwa.
 
Hapa ndiyo JF, kila kitu utakipata kwa ufasaha.

Mkuu asante kwa madini haya, vipi uko mkoa gani na unaweza kusafisisha vifaranga mikoani?.. naomba na gharama zake

Kwa maelezo zaidi na mahitaji ya KWALE na bidhaa zake unaweza kuwasiliana nasi, wataalamu wa ufugaji na uzalishaji wa vifaranga vya KWALE, Number 0654 163784
 
Mnapatikana wapi? Siioni namba yenu ya simu ili tuwatafute.

Kwa maelezo zaidi na mahitaji ya KWALE na bidhaa zake unaweza kuwasiliana nasi, wataalamu wa ufugaji na uzalishaji wa vifaranga vya KWALE, Number 0654 163784
 
Mwanza mnaweza safirisha bidhaa hzo bila tatzo lolote?
 
Mimi niwajuavyo kwale ni ndege wa porini na nishawahi kuwala sana kwa kwatega shambani,wako very shy na wanakimbia sana wanapoona mtu karibu,najiuliza wanakaaje bandani bila kutoroka? Na unaweza kuwaachia kama kuku wa kienyeji?
 
Ni kweli Kwale ni ndege wa polini, hata kuku alikuwa ndege wa polini lakini alianza kuwa maarufu na kufugwa majumbani baada ya vita kuu ya dunia, tukirudi kwenye kwale, matunzo yake hayana tofauti sana na kuku wa kienyeji wanaofugwa kibiashara, nikimaanisha chakula bora chenye uwiano, maji safi, banda safi lenye hewa ya kutosha n.k, tofauti ni kuwa kwale anaruka kama ndege kwa hiyo lazima utengeze mazingira yatakayo mdhibiti asiruke na kupotea
 
Attachments

  • Quail-eggs-and-bird.jpg
    Quail-eggs-and-bird.jpg
    18.3 KB · Views: 372
Ubarikiwe sana Deo. Mie naomba mfano wa picha la banda la kufugia hao kware.
 
Back
Top Bottom