Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

Ubarikiwe sana Deo. Mie naomba mfano wa picha la banda la kufugia hao kware.

quail cage.jpg

Mfano ni kama huo, sina picha hapa karibu unaweza kutengezena ya galvanized cage au ukatengeneza ya mbao na wire mash
 
Unajuaje jike na dume

Kujua jike na dume ni rahisi sana kwa kwale wenye madoa na michirizi lakini ni vigumu kidogo kwa kwale weupe.

Kwale jike huwa anakuwa na madoa au michilizi mwili mzima na kwale dume huwa hana madoa au michirizi shingoni, anakuwa na madoa sehemu nyingine lakini shingoni huwa hana madoa.
 

Attachments

  • japanese-quail-5243d50501624.JPG
    japanese-quail-5243d50501624.JPG
    193.7 KB · Views: 601
Jipatie mayai ya kwale kwa afya yako na familia yako, trey ya mayai 30 ni shilingi 20,000 tunasambaza mayai nchini kote.

Wasiliana nasi kwa number 0654 163784 au email : kwalebora@gmail.com


Karibuni sana
 
Hao katika picha sio kwale .kwale wana fahamika .hao ni jamii nyingine tu ya ndege
 
Hao katika picha sio kwale .kwale wana fahamika .hao ni jamii nyingine tu ya ndege

Hao ni Kwale ni Japanese Quail au wanajulikana kama Coturnix Quail au Coturnix Japonica hao ni wanaofugwa sana Africa mashariki ni Kwale wanaotaga mayai mengi sana takribani mayai 300 kwa Kwale mmoja kwa mwaka. Ninawafuga hao.
 
Kakota wewe naona huwajui kwale, nahisi unachanganya na kanga.Hao kwenye picha ndo kwale
 
biashara ya kwale siitofautishi na biashara ya mafuta ya mbegu za ubuyu au kikombe cha babu.nashangaa mpaka sasa tfda na tbs wako kimya mpaka muda upite ndo watoe tamko kuwa watu wanatapeliwa.

na sisi watz tumezidi kuwa mambulula ndo maana tunatapeliwa hovyo hovyo
 
Mkuu VisaGold

Asante kwa kupitia thread hii, ningeshauri upanue wigo wa ufugaji wako kwa kuwa ufugaji mara nyingine ni misimu, so kwa upande mwingine usiache biashara ya kuku wa mayai. Kwa upande wa Kwale ningeshauri uanze na wa siku moja kwa kuwa gharama yake ni nafuu na utawatunza kwa week sita tu then wataanza kutaga mayai (kwa kuwa wewe siyo mgeni kwenye ufugaji wa vifaranga una utaalamu wa layers tayari) gharama za vifaranga wa week nne ni kubwa na huna haja kwa kuwa tayari unauzoefu wa ufugaji, mara nyingi wanaochukua vifaranga wa week nne au tano ni wale wasio na uzoefu wa ufugaji au wale wenye majukumu mengi na hawana muda wa kutunza vifaranga. Kuhusu risk ni kuwa Kwale ni ndege mwenye kinga kubwa, na mara nyingi husumbua kidogo week mbili za kwanza hasa kwenye kukadilia joto lakini baada ya hapo vifo huwa ni adimu sana.

Mkuu asante kwa ukartimu wako. Kware na hao ndege unaowatangaza kwa uelewa wangu ni vitu viwili tofauti. Kware ni ndege mkubwa kidogo na ana rangi ya brown na miguu myekundu, hao unaowazungumzia wanaitwa Tombo (tombo tombo) au mbesi/mburwe kwa kinyakyusa. Ni watamu kuliko ndege yeyote anayeishi wala hakuna mfano. Nilipokuwa shule ya upiri nikirudi likizo kwetu Mwakaleli, Tky nilikuwa nawanunua kwa ajili ya kuwala. Wadogo na wana mkia mfupi, weakati kware mkia wa wao ni mrefu kidogo na wajanja sana si rahisi kuwapata, wakati tombo ni rahisi sana.
 
Excellent-quality-We-manufacture-all-type-Cages-20131218161509.jpgquail cage2.jpg

Wengi mmekuwa mkiniuliza vibanda au cages za kufugia kwale...nime attach baadhi ya design hapo juu
 
Kaka Deo asante sana kwa ushiriano wako, vifaranga wetu wote 1000 wamefika salama salmini, jana niliwapatia glucose kama ulivyoshauri, leo wote wameamka safi kabisa na wamechangamka sana, tutawasiliana kama nitahitaji chochote.
 
Kaka Deo asante sana kwa ushiriano wako, vifaranga wetu wote 1000 wamefika salama salmini, jana niliwapatia glucose kama ulivyoshauri, leo wote wameamka safi kabisa na wamechangamka sana, tutawasiliana kama nitahitaji chochote.

You are welcome Sr. vijana wako wako very proffesional, wamehesabu vifaranga vyote na walikuwa na check list, walicheck kila kitu kabla hatujaondoka.
 
Naomba mnambie uchanganyaj wa chakula kwa ndege hawa kuanzia wik ya5
 
hamna tofauti na jinsi unavyochanganya chakula cha kuku
 
Naomba mnambie uchanganyaj wa chakula kwa ndege hawa kuanzia wik ya5

Kuna watu ambao wanawapa Kwale mchanganyiko wa chakula cha kuku wa kienyeji ni sawa kwa kiasi fulani na SIYO sawa kwa kiasi kingine, Kwale wanapoanza kutaga wanahitaji kiasi kidogo cha wanga na wanahitaji Kiasi kikuwa cha Protein na madini ya juu ya Zinc, Manganese, copper na iron kwa hiyo zingatia hilo

NOTE: Inabidi ujue kama unataka mayai kwa ajili ya remedy au kwa ajili ya kutotolesha.
 
Kujua jike na dume ni rahisi sana kwa kwale wenye madoa na michirizi lakini ni vigumu kidogo kwa kwale weupe.

Kwale jike huwa anakuwa na madoa au michilizi mwili mzima na kwale dume huwa hana madoa au michirizi shingoni, anakuwa na madoa sehemu nyingine lakini shingoni huwa hana madoa.
Njia nyingine ya kuwatambua majike na madume ni kwa kuwaangalia nyuma makalioni! Madume wanakuwa wamevimba na ukiwabinya wanatoa povu(shahawa) ila majike wao hawavimbi wala hawana povu!
Pia ninayo mayai ya kutosha! Bei ndo hiyo elfu 20 kwa trei ila inapungua kama utachukua nyingi! -0712955009
 
Jmn naomba msaada,kware wangu wanakufa sijui tatizo nn,Leo nimeshuhudia mmoja anatapika na kilichofuata ni kifo,nimejaribu vitamins lkn sijaona matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom