Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
- Thread starter
-
- #21
Kwani soko lake lipoje! Mi ntajaribu tuu ata kware 250. Niishafanyaga biashara ya asali ilikuwa nguumu hv hv ila nlitoboa sema majukumu yaiingiliana nkakosa muda wa kusafiri. Hvyo mi naamin nkiwa na mzigo stashindwa kuuza
swali icho chakula cha starter pellet kinapatikana wapi?
Asante kwa elimu ila fanya kujiongeza uweke namba zako za simu
Mnapatikana wapi? Siioni namba yenu ya simu ili tuwatafute.
Tuko Dar es Salaam - Bunju
Nakutumia number kwa DM
Hapa ndiyo JF, kila kitu utakipata kwa ufasaha.
Mkuu asante kwa madini haya, vipi uko mkoa gani na unaweza kusafisisha vifaranga mikoani?.. naomba na gharama zake
Mnapatikana wapi? Siioni namba yenu ya simu ili tuwatafute.
Kwa maelezo zaidi na mahitaji ya KWALE na bidhaa zake unaweza kuwasiliana nasi, wataalamu wa ufugaji na uzalishaji wa vifaranga vya KWALE, Number 0654 163784
Mwanza mnaweza safirisha bidhaa hzo bila tatzo lolote?
Naweza pata vifaranga kwa elf 200 kama 100
Naweza pata vifaranga kwa elf 200 kama 100
Mimi niwajuavyo kwale ni ndege wa porini na nishawahi kuwala sana kwa kwatega shambani,wako very shy na wanakimbia sana wanapoona mtu karibu,najiuliza wanakaaje bandani bila kutoroka? Na unaweza kuwaachia kama kuku wa kienyeji?
Hello Deo...nimekutext mkuu