Kwaresma na Pasaka Special Thread

Usela usela nipunguze usela, maana ujana na usela ni kutia chumvi kwenye pera
Dunia hii mtumish haina Raha ya kudumu

Unaweza kura Raha miaka 10 ikatokea siku moja tu ukawekwa jera na ile Raha yako uliyo kula miaka inapotea hapo hapo, unaanza mateso

Kwahiyo jipatanishe na KRISTO YESU
 
Pamoja na maelezo, uchambuzi na ufafanuzi mzuri katika hoja ya msingi,

nina maswali madogo mawili ya nyongeza kwa pamoja,

Je,
kwa mwaka huu, kwaresma itaanza lini na Pasaka itakua lini?🐒
 
Alhamisi this week, right?
kwa Neema na Baraka za Mungu nikipata wasaa mzuri nitashiriki ibada hiyo muhimu Jimbo kuu la Dar es salaam katika Parokia Ya Roho Mtakatifu segerea ikiwa patakua na ibada ya jioni 🐒
Ni jumatano siyo alhamisi

Lazima iwepo jion

Jumatano ya majivu ndo ibada pekee inayo kusanya watu wengi zaid katika kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…