Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huamini uwepo wa MUNGU au hupendi kujihusisha na dini tu lakin MUNGU MWENYEZI unamwamini?
Vip ndugu yangu
Pole sana
Inshallah Allah atayaua makafiriNaachana na mambo ya dunia namrudia Mungu wangu
Duh noma kweli umejuaje mzeeNimeona uandishi wako tu nkajua hiyo kichwa ishapata moto.
HahahaDuh noma kweli umejuaje mzee
Milele AminaTumsifu Yesu Kristo wapendwa..
Tuirarue mioyo yetu na sio mavazi yetu...
Kufunga kwetu kukawape faraja wale wasiokua nacho kwa kufanya matendo ya huruma...
Twendeni...magerezani,mahospitalini,vituo vya yatima,wazee n.k
Sisi wakatoliki tunafunga anasa au vitu tuvipendavyo na kuacha dhambi... badala yake kile kitu kitoe kwa wahitaji wengine...
Kristoo...