Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kesho mapema ibada ya majivu.

Tuombeane kwa Mungu azipokee toba zetu madhaifu na tabia mbovu tulizozoea kuziishi huko nyuma Kwaresma hii ikaziondoshe kwetu tubaki wasafi hata milele.
 
Tunafunga ili iweje? yesu amesha tukomboa Hatuna dhambi,... alafu tayari yesu amesha jua nani ataenda motoni na nani ataenda kwa roho mtakatifu kama umesha wekwa kwenye kundi la motoni hata ufunge kizazi hautoboi
Kwahiyo kwa kuwa YESU KRISTO kashatukomboa hivyo sisi tusifanye chochote tuendelee kulewa tu mtumish?
 
Back
Top Bottom