Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kaniambia hapa kuwa unakunywa maji na unakula kidogo ila usishibe hii ni kweli?Kufunga kwaresma tunaanza kesho ndugu yangu
Kanuni ni kama ifuatavyo
Tunafunga kuanzia asubuh mpaka jion saa kumi na mbili
Lakin kabla hujafungua unasali kwanza
Jitaid kunuia jambo mbele ya MUNGU MWENYEZI iwe changamoto au shukrani
Usifunge bila kusali itakuwa ni sawa sawa na kushinda NJAA tu
Lakin pia siyo unafunga tena usiku unaamka kula hapana hiyo siyo funga
Kama una swali lingine uliza mtumish
Tumsifu yesu kristo mtaniUzi mzuri sana kama wakristo wakatoliki...tunaweza kukosa muda wa kujifunza juu ya kwaresma ila ukiingia hapa unakuta vitu vizuri tunajifunza...
Tumsifu Yesu kristo dada Kalpana 🤔Uzi mzuri sana kama wakristo wakatoliki...tunaweza kukosa muda wa kujifunza juu ya kwaresma ila ukiingia hapa unakuta vitu vizuri tunajifunza...
Machavaa ndo wapi? Unauza chakula Cha samaki na nguruwe?Kesho asubuhii niwahi majivu,
Msisahau kuniungisha nipo hapa machava mje kununua chakula Cha samaki na Nguruwe
makutupora
Kigamboni unapajua? Rongoni beach unapajua?Machavaa ndo wapi? Unauza chakula Cha samaki na nguruwe?
Au unauza chakula ambacho ni samaki na nguruwe 😂
Unanichanganya unajua mara uniambie sinza Leo kigamboniii ... Kigamboni napanua mwisho wa lami na kimbiji 😂Kigamboni unapajua? Rongoni beach unapajua?
Sinza sii kulala mzee au huko pia sikujuiUnanichanganya unajua mara uniambie sinza Leo kigamboniii ... Kigamboni napanua mwisho wa lami na kimbiji 😂
Naijua mkuu si pale watu wanavuka na kadiSinza sii kulala mzee au huko pia sikujui
Unajua ferry ya Kigamboni?
Kuna kivukoni na Kigamboni hii ambayo hakuna mwendokasiNaijua mkuu si pale watu wanavuka na kadi
Ushanipoteza ... Naijuia Ile ambayo Kuna mwendokasiKuna kivukoni na Kigamboni hii ambayo hakuna mwendokasi
Milele amina Mtani...Tumsifu yesu kristo mtani