Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Natamani sana ifike chato na kongwa
Sasa nani ccm? sikia mie sio ccm wala mpinzani na wala sina upumbavu ushabiki wa vyama kama wengi mlivyo humu muda wote ccm hivi upinzani vile.Naona ccm mna wish lockdown zingewezekana kivyama vyama. Naskia mumeanza na Chato. Only under ccm huu ujinga unawezekana! Nchi imekuwaje?
A republic inside a republic? Nchi haiko moja tena? Hamufai kabisa ccm.
Haiwezekani bana, rais si yupo chato? Na si rais huyo huyo aliyesema fumigation ni upuuzi? Sasa fumigation inafanyikaje tena chato? Hii taarifa si sahihiNimesoma twitter kuwa chato kuna case za corona . Kwa hio mji wote upo locked na magari yote yanafanyiwa fumigation
Mkuu unamuita nani mpumbavu? Ama vidole vinne vinakuelekea wewe?Sasa nani ccm? sikia mie sio ccm wala mpinzani na wala sina upumbavu ushabiki wa vyama kama wengi mlivyo humu muda wote ccm hivi upinzani vile.
Shida ni kwamba suala la ulinzi wake, wanausalama ndo wanawajibika.Haiwezekani bana, rais si yupo chato? Na si rais huyo huyo aliyesema fumigation ni upuuzi? Sasa fumigation inafanyikaje tena chato? Hii taarifa si sahihi
Unajuwa waziri mkuu wa Uingereza alitaka afuate mfumo huu huu. Corona ikamfuata akapelekwa icu. Na inavyosemekana ugonjwa huu una mateso na maumivu. Alipotoka huko akabadili mawazo na sasa wanazingatia maelekezo ya wataalam bila chenga.Nimesoma twitter kuwa chato kuna case za corona . Kwa hio mji wote upo locked na magari yote yanafanyiwa fumigation
Acha tuone,ila siyo kila siku ni jumapiliMkuu chuki haisadii yani tutamchukia weee hadi muda wake utaisha ataondoka atakuja mwengine.
Kwa kuwa wanaoongozwa na CCM si watu hai ,kweli haiwezekani,Ila ikitokea corona ikawarudishia uhai na ufahamu kiduchu tu? Mambo yanaweza badirika October.Maana Kama watu wanakufa Kama kuku bila huduma Wala msaada wowote wataogopa nini kufa kwa bunduki ambayo ndo imekuwa ikiiweka ccm madarakani kwa muda mrefuHivi mkuu unaamini kabisa hii ishue ya korona inaweza iondoa CCM madarakani au umajiandikia tu.
Wapumbavu ni wale ambao wanafikiri kila mtu ni mshabiki wa siasa zenu hizi za ccm na upinzani,yani wao hawafikiri kabisa kuwa kuna watu hawako kwenye huo ujinga. Yani kuna kundi la kusifia tu na lengine wao kuponda tu,sasa haya makundi wengine hatumo humo sie tuko huru kukosoa na kupongeza hatujajiweka kwenye utumwa wa kujilazimisha kusifia tu hata pasipostahiki wala kuponda tu ilimradi uponde tu kisa unamchukia mtu ambaye huna la kumfanya. Hao ndio wapumbavu naowakusudia.Mkuu unamuita nani mpumbavu? Ama vidole vinne vinakuelekea wewe?
Kwanza unadai watu wanataka majanga, na kwamba ccm haitishiki, halafu hapo hapo unasema wewe siyo ccm!
Kwani ccm wanapogawa barakoa kwa wananchama wao, mnafuta kauli ya Polepole kuwa chadema ndo corona au?🤦🏾♂️
Hizi ndio stress nazozisema unapokuwa unamchukia mtu ambaye huna la kumfanya.Hizi tetesi za Corona hatimae yafika Chato hivi ni za kweli? kama ni kweli basiWatanzania dua zetu zimejibiwa.
Abood alikamatwa? Wakati huyu anakamatwa, yeye alikuwa akigawa ndoo. Huu ugonjwa utaiumbuwa ccm kwa tabia zao mbovu dhidi ya wananchi wengine.Wapumbavu ni wale ambao wanafikiri kila mtu ni mshabiki wa siasa zenu hizi za ccm na upinzani,yani wao hawafikiri kabisa kuwa kuna watu hawako kwenye huo ujinga. Yani kuna kundi la kusifia tu na lengine wao kuponda tu,sasa haya makundi wengine hatumo humo sie tuko huru kukosoa na kupongeza hatujajiweka kwenye utumwa wa kujilazimisha kusifia tu hata pasipostahiki wala kuponda tu ilimradi uponde tu kisa unamchukia mtu ambaye huna la kumfanya. Hao ndio wapumbavu naowakusudia.
Mkuu wanadhani ni utani. Kiukweli kwa utaratibu huu wa usiri wao, kila mwananchi atakuja kuichukia ccm. Hakuna ambaye hataguswa na kadhia hii. Hapo ndipo kutakuwepo na kilio na kusaga meno.Kwa kuwa wanaoongozwa na CCM si watu hai ,kweli haiwezekani,Ila ikitokea corona ikawarudishia uhai na ufahamu kiduchu tu? Mambo yanaweza badirika October.Maana Kama watu wanakufa Kama kuku bila huduma Wala msaada wowote wataogopa nini kufa kwa bunduki ambayo ndo imekuwa ikiiweka ccm madarakani kwa muda mrefu
Et watu wanakufa kama kuku! dah!Kwa kuwa wanaoongozwa na CCM si watu hai ,kweli haiwezekani,Ila ikitokea corona ikawarudishia uhai na ufahamu kiduchu tu? Mambo yanaweza badirika October.Maana Kama watu wanakufa Kama kuku bila huduma Wala msaada wowote wataogopa nini kufa kwa bunduki ambayo ndo imekuwa ikiiweka ccm madarakani kwa muda mrefu
Ili mumkomoe Magufuli? aisee!COVID19 naomba upige Hodi Chato
Akifanyiwa asiye ccm mnaongea na akifanyiwa mwana ccm pia mnaongea.Abood alikamatwa? Wakati huyu anakamatwa, yeye alikuwa akigawa ndoo. Huu ugonjwa utaiumbuwa ccm kwa tabia zao mbovu dhidi ya wananchi wengine.View attachment 1431327