Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

The first mistake in life is not to trust your goodself. Hence, the best plan against COVID-19 infection is in your own hands.

Ukihamisha tatizo lako la kupuuza ushauri, kaburi linakusubiri.
Wataalam wanasema hili, mwenyekiti wenu anasema lile.
 
Wenzangu kina nani? Au unadhani wote tuko kwa magroup hapa. Mkuu wengine ni wachangiaji wa kawaida tu.
Ila sie tukitofautiana mawazo na nyie wachangiaji wa kawaida ndio mnatuweka kwenye group la ccm?
 
Corona imeanza na wabunge wao, labda ndio process inayozungumziwa ya kuwaondoa madarakani.
 
Corona imeanza na wabunge wao, labda ndio process inayozungumziwa ya kuwaondoa madarakani.
Wamezoea uchakachuaji, ndo maana nikasema corona itakuwa kiboko ya kuwatimulia mbali. Maana hili gonjwa halina chama, na kama lingekuwa linagawiwa na ccm, wanachama wao wangepona na wananchi wengine kuchinjiwa baharini.

Wengi wanaotetea ccm hadi usawa huu ni mafisadi yaliyojificha ndani kwa kodi zetu. Hayo mafriji yao huwa yanajazwa bia na nyama kwa kodi zetu kila wiki ndo maana wanatoa maamuzi ya kipumbavu kabisa.

Wengine walikata mishahara yao pesa zikapelekwa kuwalisha wananchi walau kwenye partial lockdown. Wao bado wanatimkia bungeni nk kutafuna kodi huku wakisema mkijifungia mtakula nini!
 
Wamezoea uchakachuaji, ndo maana nikasema corona itakuwa kiboko ya kuwatimulia mbali. Maana hili gonjwa halina chama, na kama lingekuwa linagawiwa na ccm, wanachama wao wangepona na wananchi wengine kuchinjiwa baharini. Wengi wanaotetea ccm hadi usawa huu ni mafisadi yaliyojificha ndani kwa kodi zetu. Hayo mafriji yao huwa yanajazwa bia na nyama kwa kodi zetu kila wiki ndo maana wanatoa maamuzi ya kipumbavu kabisa.

Wengine walikata mishahara yao pesa zikapelekwa kuwalisha wananchi walau kwenye partial lockdown. Wao bado wanatimkia bungeni nk kutafuna kodi huku wakisema mkijifungia mtakula nini!
Tuna vyama vingi vya siasa kila mmoja anaamua kuchagua akipendacho hivyo heshimu hilo.
 
Pascal Mayalla ndiye aliyesema hayo mkuu.

Kuhusu Ngabu, hata kumtag siwezi labda alishani block who knows? Hata hivyo nimemuulizia sana sijapata jibu. Yeye yuko Atalanta ambapo hali ilikuwa mbaya huko na yeye ni mtu mzima. Tuendelee kumuombea pengine ni quarantine tu ya kawaida! Pamoja na kwamba sijui inawezekana vipi kwenye hii lockdown apotee? Sana sana ilitakiwa awe more available if anything.
Ni jobless hana bundle
 
Kwani nimekwambia uondokane na ccm?
Sio mimi mie sina chama ila hao wenye kupenda ccm heshimu maamuzi yao na sio kuwaona ni kama mafisadi vile wanafaidika na ccm wakati wengi wazee wetu kijijini kule hawana hata maji safi ila wanaipenda ccm.
 
Siwezi kuheshimu maamuzi ya watu wanaopenda na kushabikia uchakachuaji na uongo.
 
Ccm iondolewe madarakani na nani?

Chadema [emoji3][emoji3][emoji3]

Vijana acheni mbege za marangu zinaharibu ubongo

wabaki hao hao ccm ila waache ufalasi, wafanye mambo yanayowapendeza wananchi, iwe chadema iwe ccm haijalish tunataka mabadiliko sio mnajump jump kama viantelope, korona imewatoa kwenye reli sababu mtu akifa huwez mrudisha sio sawa sawa na hela ikipotea taasisi A utakwapua za taasisi B utarudishia, people are dying na hamna namna hata ya kuwacomfort viongozi makenge maji sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huko sasa tutaenda kwenye ubishi wa kisiasa na sio dhumuni langu.
Kwahiyo kumbe ni uongo huwa hamchakachui? Data za wanaoathirika na corona ni ubishi wa kisiasa?
 
Back
Top Bottom