Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do you comprehend, or completely understand the meaning of leadership?Fikiri nje ya kisanduku.
Badala ya kuhangaisha kichwa chako nani atatawala, data za uongo, propagabda, nk (rejea bandiko lako) jiridhishe kwanza na usalama wa maisha yako.
JILINDE UMLINDE JIRANI
Kwani hao wenzako wamejitangaza kuwa ni wanasiasa?Mkuu mimi siyo mwanasiasa. Kwani we ni mgeni humu?
Utakuja na falsafa za kila aina ukweli unabaki maamuzi ya kuishi au la ni yako. PERIODDo you comprehend, or completely understand the meaning of leadership?
Dunia tukanyage taratibu tuWengine waliombea wenzao wafe wakatangulia wao.
Waliosema kufika June 2017 atakaebakia mjini ni mwanaume wamekimbia wao
Sawa kabisa maana kwa lugha hiyo unajua alipo na kilichomtokea, au?Siyo kweli. Mbona Ben Saanane hayakuwa maamuzi yake?
ccm ndivyo mlivyo. Sasa hamtangazi tena visa vya corona, lakini mtaani hayafichiki. Wananchi wanachukuwa hatua wenyewe.Sawa kabisa maana kwa lugha hiyo unajua alipo na kilichomtokea, au?
Suala linaloongelewa ni kuhusu maambukizi ya korona. Kuzingatia ushauri wa kitaalamu ili usiambukizwe ni uamuzi wako mwenyewe.
JILINDE UMLINDE JIRANI. Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 inawezekana.
Sote wapangaji wapitaji kwann tuwekeane vizingiti
The first mistake in life is not to trust your goodself. Hence, the best plan against COVID-19 infection is in your own hands.ccm ndivyo mlivyo. Sasa hamtangazi tena visa vya corona, lakini mtaani hayafichiki. Wananchi wanachukuwa hatua wenyewe.
The best plan is no plan at all?
Yaaani wacha tuSote wapangaji wapitaji kwann tuwekeane vizingiti
Umenifanya nicheke bila kupendaWaongo wengine afya zao mgogoro,wamekimbia mji. wanajua wakionjwa kidogo na corona wanakwenda na maji
Wale wanaodanganywa na waganga kwamba wataishi milele sijui huwa awaoniYaaani wacha tu
Ila hii covid 19 imenyoosha haswa
Wote level moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sisi tunawaita washirika wetu wa maendeleo ni mambuzi dume (Ma beberu), sasa katika hali hiyo, hata kama ni wewe, utatoa msaada kweli?
Naona tupunguze tambo na kutoa kauli zenye ukakasi hadharani. mambo yetu ya chini ya kapeti yaongelewe ndani siyo hadharani
Kwahiyo serikali ya ccm haina maamuzi ya kuwalinda wananchi wake siyo? Unaongea kile kinachokufaa wewe kwa muda ule. Hapo umefikiri kwa urefu gani?Utakuja na falsafa za kila aina ukweli unabaki maamuzi ya kuishi au la ni yako. PERIOD
Ni kweli kabisa. Hii corona itaumbuwa utawala wa ccm toka uhuru. Kwasababu wao walikuwa wakitimkia India huko. Sasa uongo wao lazima uwatokee puani. Nimemsikia Majaliwa leo nimetikisa kichwa kwa masikitiko.Yaaani wacha tu
Ila hii covid 19 imenyoosha haswa
Wote level moja
Sent using Jamii Forums mobile app