Wataalam wanasema hili, mwenyekiti wenu anasema lile.The first mistake in life is not to trust your goodself. Hence, the best plan against COVID-19 infection is in your own hands.
Ukihamisha tatizo lako la kupuuza ushauri, kaburi linakusubiri.
Ila sie tukitofautiana mawazo na nyie wachangiaji wa kawaida ndio mnatuweka kwenye group la ccm?Wenzangu kina nani? Au unadhani wote tuko kwa magroup hapa. Mkuu wengine ni wachangiaji wa kawaida tu.
Wamezoea uchakachuaji, ndo maana nikasema corona itakuwa kiboko ya kuwatimulia mbali. Maana hili gonjwa halina chama, na kama lingekuwa linagawiwa na ccm, wanachama wao wangepona na wananchi wengine kuchinjiwa baharini.Corona imeanza na wabunge wao, labda ndio process inayozungumziwa ya kuwaondoa madarakani.
Tuna vyama vingi vya siasa kila mmoja anaamua kuchagua akipendacho hivyo heshimu hilo.Wamezoea uchakachuaji, ndo maana nikasema corona itakuwa kiboko ya kuwatimulia mbali. Maana hili gonjwa halina chama, na kama lingekuwa linagawiwa na ccm, wanachama wao wangepona na wananchi wengine kuchinjiwa baharini. Wengi wanaotetea ccm hadi usawa huu ni mafisadi yaliyojificha ndani kwa kodi zetu. Hayo mafriji yao huwa yanajazwa bia na nyama kwa kodi zetu kila wiki ndo maana wanatoa maamuzi ya kipumbavu kabisa.
Wengine walikata mishahara yao pesa zikapelekwa kuwalisha wananchi walau kwenye partial lockdown. Wao bado wanatimkia bungeni nk kutafuna kodi huku wakisema mkijifungia mtakula nini!
Mtapukutika mno wenye visukari ukimwi n.kCcm iondolewe madarakani na nani?
Chadema [emoji3][emoji3][emoji3]
Vijana acheni mbege za marangu zinaharibu ubongo
Ameomba Rais na hali iko palepale itakuwa wewe?Naomba Mungu Hali isiwe mbaya na kutosha hadii tiba ipatikane watu tuwe huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona nasikia imeondoa ujinga wakeAcha masikhara Mangi. Magufuli amkabidhi Makonda wapi na wapi? By the way, mshua wako wa "Got Poop?" aka Nyani Ngabu kaishia wapi?
Ni jobless hana bundlePascal Mayalla ndiye aliyesema hayo mkuu.
Kuhusu Ngabu, hata kumtag siwezi labda alishani block who knows? Hata hivyo nimemuulizia sana sijapata jibu. Yeye yuko Atalanta ambapo hali ilikuwa mbaya huko na yeye ni mtu mzima. Tuendelee kumuombea pengine ni quarantine tu ya kawaida! Pamoja na kwamba sijui inawezekana vipi kwenye hii lockdown apotee? Sana sana ilitakiwa awe more available if anything.
Sio mimi mie sina chama ila hao wenye kupenda ccm heshimu maamuzi yao na sio kuwaona ni kama mafisadi vile wanafaidika na ccm wakati wengi wazee wetu kijijini kule hawana hata maji safi ila wanaipenda ccm.Kwani nimekwambia uondokane na ccm?
Siwezi kuheshimu maamuzi ya watu wanaopenda na kushabikia uchakachuaji na uongo.Sio mimi mie sina chama ila hao wenye kupenda ccm heshimu maamuzi yao na sio kuwaona ni kama mafisadi vile wanafaidika na ccm wakati wengi wazee wetu kijijini kule hawana hata maji safi ila wanaipenda ccm.
Ccm iondolewe madarakani na nani?
Chadema [emoji3][emoji3][emoji3]
Vijana acheni mbege za marangu zinaharibu ubongo
Huko sasa tutaenda kwenye ubishi wa kisiasa na sio dhumuni langu.Siwezi kuheshimu maamuzi ya watu wanaopenda na kushabikia uchakachuaji na uongo.
Time will tellInaondolewa na nani sasa?