Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Kwahiyo kumbe ni uongo huwa hamchakachui? Data za wanaoathirika na corona ni ubishi wa kisiasa?
Nyie mnachokifanya humu ni siasa tu na siasa zenu ni za matukio na tukio tulilonalo hivi sasa ni la corona,ni watu wa kupiga kelele tu hata kwa yale yasio na maana. Na kwa hali hiyo mnafanya hata pale mtakapokuwa mnaongea jambo la maana basi litachukuliwa kisiasa na kuonekana ni kelele zenu kama kawaida.
 
Mkuu please DONOT insult my intelligence!

1. Kitu chenye ncha kali

2. Kitu kizito

3. Wasiojulikana

4. changamoto za kupumua.

Ni kweli hayo yalikuwa ni matukio, and the list goes on.
 
Mkuu please DONOT insult my intelligence!

1. Kitu chenye ncha kali

2. Kitu kizito

3. Wasiojulikana

4. changamoto za kupumua.

Ni kweli hayo yalikuwa ni matukio, and the list goes on.
Nakwambia hivi nyie ni watu wa matukio na ndio maana siku zote ccm wakiona mnapigia sana kelele jambo fulani basi huatafutia tukio lengine ili mlidandie hilo na kuacha lile la mwanzo,hivyo ndivyo ilivyo miaka yote. Na tatizo hilo kelele mnazopiga si kwamba mnauchungu au mnachukizwa bali ni siasa tu,hata hili la corona mnalishikilia kwa mahesabu ya kisiasa tu mnaona jambo litamuweka ccm pabaya na mnaamini inaweza kuwa sababu ya kumtoa ccm madarakani na ndiyo maana kuna watu waliomba kabisa corona ije Tanzania.
 
Hapana, nadhani hujanielewa vyema mkuu.

1. Covid-19 haipendi uongo

2. covid haipendi uchakachuaji wa data

3. covid haipendi siri kama ccm.

#Huwezi ku create awareness kwa uchakachuaji na uongo. Mnazika usiku mtu mliyemtoa kwenye nyumba uwani, hapo mbele kuna mchana kuna bar watu wanapiga maji...vifo vinavyoweza kuepukika? Hamwezi kukwepa hata chembe.

#Mnapenda uzembe, covid haipendi uzembe. Kwasababu tumezoea uzembe huku life goes on.

#Kumbe kiukweli hamwezi kuongoza nchi zaidi ya uwezo wa kukusanya kodi na kuzitumia mnavyotaka.
 
Kuomba kupo sikuzote tu ndio Mana tukapewa akili ya kung'amua na ufahamu hii corona ilitakiwa kutumia njia za ki science ya social distance na kufunga mipaka mwanzo Sasa it was too late. Pia Mimi naweza jibiwa kuliko yeye politicians wanaweza kujifanya wasali kumbe Wana practice ndumba, na matambi Sasa maombi yao yatabiwaje
Ameomba Rais na hali iko palepale itakuwa wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mpira tunaingia dk ya 25, kwa kweli COVID-19 atatufanya kitu mbaya...ni terminator!!

Nawapongeza CDM kwanza kwa uvumilivu wao na pili kwa maamuzi waliyoyachukua kwa kuzingatia uzito wa tatizo.

CCM waacheni waendelee na vikao.!! Kupanga ni kuchagua ila wawe makini wasije wakaondoka pamoja na COVID 19.
 
Kwa sababu sasa hivi kuna corona na nyie ni wazee wa siasa za matukio basi si ajabu kusikia kelele zenu kwenye hili mpaka pale litakapo patikana tukio lengine,ndio mpo hivyo miaka yote hakuna jipya hapa.Na kama nilivyosema nyinyi hamna uchungu wala kuchukizwa na lolote kwa yanayoendelea kwenye hii nchi bali ni siasa tu hata hili janga la corona kwenu mna mawazo ya kwamba laweza kumtoa ccm madarakani.
 
Mkuu usisubiri tukio jingine. Corona is here to stay. Wekeni mipango yenu na wapinzani waseme yao tuwapime.
 
Hilo gonjwa kama ni kitu linapenda ku expose ni unafiki! Hivi kweli makanisa walipoteza muda kabisa kuomba dhidi ya corona baada ya kuambiwa na watawala ambao hawajali maisha ya wengine? Yani sijawahi kusikia wakitaka uchunguzi wa mashambulizi ya Lissu ufanyike, Ben Saanane nk. Wao walifurahia walipoambiwa waendelee na mikusanyiko.

Eti Mahiga na yeye (RIP), alikuwa keshajikita kwenye propaganda. Nimemsikia kwenye mchango wake wa mwisho kabla hajatutoka, akidai eti serikali hii ni ya wanyonge na ni baada ya kwenda kwenye magereza na kuona jinsi misongamano ile ilivyo mibaya wakati huu wa corona. Hii ina maana alijiona yuko very safe pale bungeni. Na amefariki akiwa ana chapa kazi.
 
Ni mbaya zaidi pale wanapoficha. Awareness inapungua kama si kwisha. Kama ulivyosema, tunaingia dk ya 25 kama ni soccer ⚽, na hii ni kwasababu baadaye, wananchi watatafutana. Ikifika dk ya 80 huko, sidhani kama kuna ambaye atakuwa ana hamu na ccm. Hata hao polisi. Ngoja uone.
 
Sasa ni mwendo wa social distance na mbuzi. Wachagga kaazi😀ila papai musiache kula. Lina vitamin c inayosaidia kupambana na covid-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…